Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MFUMO MPYA WA UONDOSHJI MIZIGO(TANCIS)KUONGEZA UWAZI NA UWAJIBIKAJI

Kamishna wa Forodha na Ushuru kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Tiagi Masamaki Kabisi akiwaeleza waandishi wa Habari juu ya faida za Mfumo mpya wa Uondoshaji Mizigo bandarini(TANCIS) ikiwa unasaidia katika kufanya makadirio ya kodi sahihi kulingana na taarifa sahihi zilizoletwa kwa kutumia mfumo huo, pia utasaidia wateja kujua sehemu mizigo yao ilipo na pia wanapaswa kulipa kiasi gani kulingana na mzigo wa mteja, wakati wa Mkutano na waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mfumo mpya wa undoshaji Mizigo (TANCIS) kuongeza uwazi na uwajibikaji

1

Kamishna wa Forodha na Ushuru kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Tiagi Masamaki Kabisi akiwaeleza waandishi wa Habari juu ya faida za Mfumo mpya wa Uondoshaji Mizigo bandarini(TANCIS) ikiwa unasaidia katika kufanya makadirio ya kodi sahihi kulingana na taarifa sahihi zilizoletwa kwa kutumia mfumo huo, pia utasaidia wateja kujua sehemu mizigo yao ilipo na pia wanapaswa kulipa kiasi gani kulingana na mzigo wa mteja, wakati wa Mkutano na waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam.

2

 

11 years ago

Mwananchi

TEKNOLOJIA: Mfumo mpya wa TRA kurahisisha utoaji mizigo

>Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema matumizi ya mfumo mpya wa kuratibu mizigo inayotoka nje kuingia nchini utakuwa njia bora katika kuharakisha utoaji wa mizigo hiyo  mara inapoingia.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TRA yawanoa wateja mfumo wa Tancis

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), Idara ya Forodha na Ushuru wa Bidhaa, imeandaa mafunzo kwa wateja wake na taasisi mbalimbali juu ya mfumo mpya ya forodha uitwao ‘Tanzania Customs Integrated...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mfumo wa Tancis wasaidia kuondoa urasimu, wizi bandarini

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mfumo mpya wa forodha wa kielektroniki (Tancis) umesaidia kuondoa urasimu na wizi wa makontena Bandarini. Ofisa Mwandamizi wa TRA, Felix Tinkasimile, alisema hayo katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Kamani sasa ataka uwajibikaji, uwazi wizarani

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani, amesema ili kwenda na kasi ya maboresho ya wizara hiyo, inahitajika dhana ya uwajibikaji na uwazi sambamba na kujitolea kwa nguvu zote katika kufanya kazi.

 

9 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LAZINDUA MFUMO MPYA WA KISASA WA USIMAMIZI WA MIZIGO KWENYE VIWANJA VYA NDEGE

SHIRIKA la ndege la Etihad ambalo ndio shirika rasmi la nchi ya Falme za kiarabu, leo hii limetangaza makubaliano na kampuni ya Luggage Logistics kuboresha mfumo mzima wa usimamizi wa mizigo katika viwanja vake vya ndege dunia nzima.

Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la ndege la ETIHAD lazindua mfumo mpya wa kisasa wa usimamizi wa mizigo kwenye viwanja vyake vya ndege

Etihad-Airways-Boeing-787-set-to-fly-to-five-further-destinations-in-2016

Shirika la ndege la Etihad ambalo ndio shirika rasmi la nchi ya Falme za kiarabu, leo hii limetangaza makubaliano na kampuni ya Luggage Logistics kuboresha mfumo mzima wa usimamizi wa mizigo katika viwanja vake vya ndege dunia nzima.

 Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...

 

9 years ago

Michuzi

TANZANIA YATAKA MASHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA KUTEKELEZA KWA VITENDO DHANA YA UWAZI NA UWAJIBIKAJI

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi ( picha ya Maktaba) ametoa wito kwa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Ofisi zake kutekeleza kwa vitendo dhana ya uwazi na uwajibikani kama yanavyozishikiza Nchi Wanachama, kwa kile alichosema, utekelezaji wa dhana hiyo haupashwi kuwa jukumu la Serikali peke yake. Ametoa wito huo wakati wa majadiliano ya Ripoti ya Baraza la Haki za Binadamu iliyowasilishwa siku ya jumatatu mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Serikali kuongeza uwazi kazi za NBS

SERIKALI imesema itaendelea kuongeza uwazi katika matumizi ya takwimu zinazokusanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ili kukidhi vigezo na malengo ya mfumo mpya uliowekwa na Umoja wa Mataifa (UN) wa mwaka 2008 wa upataji wa takwimu za Pato la Taifa.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha ya kimataifa ya siku tano ya watakwimu kutoka nchi za Afrika zinazozungumza Kiingereza, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha Profesa Adolf Nkenda, alisema Tanzania inaendelea kukusanya takwimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani