Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Global TV Online: Nape Nnauye Alipowasili Wizarani Kuanza Kazi

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Pichaz 7 za Mbwana Samatta alivyokutana na waziri wa michezo Nape Nnauye wizarani Dec 30 …

December 30 ilikuwa ni siku ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta kukutana na uongozi wa wizara ya habari, vijana, utamaduni, burudani na michezo Nape Nnauye. Mshambuliaji huyo ambaye anahusishwa kwenda kucheza soka la kulipwa katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji […]

The post Pichaz 7 za Mbwana Samatta alivyokutana na waziri wa michezo Nape Nnauye wizarani Dec 30 … appeared first on...

 

9 years ago

GPL

NAPE NNAUYE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS

Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick Evarist akimkaribisha Katibu Mwenezi wa CCM na Mbunge Mteule wa Jimbo la Ntama, Nape Nnauye. ...Akitoa neno la shukrani kwa Kampuni ya Global Publishers. Mwandishi wa Global Publishers, Brighton Masalu akimuuliza swali Nape Nnauye.…

 

10 years ago

GPL

VIKAO VYOTE VYA CCM KUANZA LEO SAA 4 ASUBUHI - NAPE NNAUYE

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa White House, Mjini Dodoma leo Julai 10, 2015. KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Nape Nnauye amesema, leo hii majina matano ya makada wa chama hicho walioomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yatajulikana, na kufuatia majina matatu ya makada hao ambayo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Nape Nnauye awataka Watanzania kuendelea kumuombea Rais Dk John Pombe Magufuli, kazi ya kutumbua majipu ni ngumu na ina vikwazo vingi

1

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ndugu Nape Nnauye aliyekuwa mgeni rasmi akimuwakilisha Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Suluhu Hassan akizindua rasmi albam mbili za kwaya ya Wakorintho wa Pili kwenye tamasha la Krismas lililofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jana, ambapo mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika ya Kusini Rebecca Malope amefanya onesho kubwa lililovuta hisia za mashabiki wengi waliohudhuria katika tamasha hili akishirikiana na waimbaji mbalimbali...

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano na Nape Nnauye Pt II

Karibu katika sehemu hii ya pili na ya mwisho ya mahojiano yetu na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.
Kazungumzia mambo mbalimbali, hasa suala la uchaguzi
Karibu

 

9 years ago

Michuzi

TFF YAMPONGEZA NAPE NNAUYE

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemtumia salamu za pongezi mbunge wa jimbo la Mtama, Nape Nnauye kufutia kuteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo katika serikali ya awamu ya tano.
Katika salamu zake, Malinzi amempongeza Nape na kusema TFF ina imani nae katika nafasi hiyo, na kuahidi kushirikiana katika michezo na haswa katika kusukuma gurudumu la maendeleoya mpira wa miguu nchini.
Aidha pia Malinzi amewapongeza Paschal Kihanga,...

 

9 years ago

Mwananchi

Nape Nnauye anusurika kifo ajalini

Mgombea ubunge Jimbo la Mtama kupitia CCM, wilaya na mkoa wa Lindi, Nape Nnauye (38) amenusurika kifo, baada ya gari aliyokuwa akiendesha kuacha barabara na kupinduka, wilayani Kilwa.

 

11 years ago

Mtanzania

Warioba: Umma utamhukumu Nape Nnauye

Jaji Joseph Warioba

Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba

SHABANI MATUTU NA ELIZABETH MJATTA, DAR ES SALAAM

KAULI iliyotolewa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, kwamba wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wanatumia mchakato wa Katiba kama mradi binafsi wa kujinufaisha, ni wazi imeonekana kumkera Jaji Joseph Warioba, ambaye sasa ametamka bayana kuwa mwanasiasa huyo anasubiri kuhukumiwa na nguvu ya umma.

Jana vyombo vya habari vilimkariri Nape...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani