Serikali kufuta misamaha ya VAT
Serikali itawasilisha bungeni rasimu ya maboresho ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) ambayo itafuta misamaha ya kodi hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 Jun
Serikali yasikia kilio cha wabunge, yafuta misamaha ya kodi
11 years ago
Habarileo01 Mar
Serikali kuangalia kodi ya VAT katika nyumba
WAZIRI wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka amesema watakaa na mamlaka husika na kuangalia uwezekano wa kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) katika nyumba, zinazojengwa na mifuko ya hifadhi ya jamii ili ziweze kuuzwa kwa wananchi kwa bei inayoridhisha.
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Lembeli: Serikali iondoe VAT vifaa vya mradi
MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli, ameishauri serikali kuondoa kodi kwenye vifaa vya mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu unaoendeshwa...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-tknbYmhIceA/U_2j-pSBZJI/AAAAAAAABkE/LxTfuzPX150/s72-c/kikwete-new-748393.jpg)
Serikali kufuta ada sekondari
Lengo kuwa na elimu bure hadi kidato cha nne JK asema ni mkakati wa kuboresha elimu nchini
NA MWANDISHI WETU
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza rasmi kuwa serikali inaangalia uwezekano wa kufuta ada katika shule zake za sekondari.
Hatua hiyo inalenga kuboresha Sera ya Elimu na kuhakikisha kila mwanafunzi anayeanza darasa kwanza anamaliza kidato cha nne.
Rais Kikwete alikuwa akizungumza jana na wanajumuia ya Chuo Kikuu Mzumbe, Morogoro na wakazi wa vijiji vya jirani na chuo hicho ikiwa sehemu ya...
9 years ago
Habarileo29 Sep
Serikali kufuta sheria kandamizi
TANZANIA imeahidi kuchukua hatua tano muhimu za kutetea na kuendeleza haki za wanawake kati ya sasa na mwaka 2030, ikiwa ni pamoja na kufanya mabadiliko makubwa ya kufuta sheria zinazokandamiza wanawake.
10 years ago
Habarileo29 Oct
Serikali yashauriwa kufuta Jiji la Mwanza
KAMATI ya Bunge inayoshughulikia Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeishauri Serikali kuifuta Halmashauri ya Jiji la Mwanza baada ya kubaini upotevu wa zaidi ya Sh bilioni 40. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Rajab Mohammed Mbarouk alishauri hayo jana wakati wa kikao cha kupitia taarifa ya CAG ambapo alisema ubadhirifu huo ni wa kati ya mwaka 2010 hadi 2013.
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Bunge laridhia Serikali kufuta deni
10 years ago
Mwananchi12 May
Serikali sasa kufuta mikataba ya wakandarasi wazembe
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Serikali yatishia kufuta leseni za wachimba madini