Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kuangalia kodi ya VAT katika nyumba

WAZIRI wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka amesema watakaa na mamlaka husika na kuangalia uwezekano wa kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) katika nyumba, zinazojengwa na mifuko ya hifadhi ya jamii ili ziweze kuuzwa kwa wananchi kwa bei inayoridhisha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI DK.MPANGO ASEMA SERIKALI INAPENDEKEZA KUSAMEHE KODI YA ONGEZEKO LA THAMAN I(VAT) KATIKA BIMA YA KILIMO CHA MAZAO


Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk.Philip Mpango amesema kuwa Katika Bajeti ya Fedha ya mwaka 2020/2021,Serikali inapendekeza kusamehe Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye bima ya kilimo cha mazao. 
Dk.Mpango amesema hayo leo Bungeni Mjini Dodoma wakati anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali yenye jumla ya Sh.Trilioni 34.88 ambapo katika eneo hilo la kusamehe kodi amefafanua lengo ni kupunguza gharama na kutoa unafuu katika bima za kilimo kwa ajili ya kuwawezesha...

 

9 years ago

StarTV

 Serikali yashauriwa kuangalia upya kodi kwa shule binafsi

Wadau wa sekta ya elimu nchini,wameishauri serikali kuangalia upya sera yake katika masuala ya kodi kwa shule binafsi ambazo zinakwaza mendeleo ya sekta hiyo huku mzigo mkubwa ukibaki kuzielemea shule hizo pamoja na wazazi.

Wakizungumzia maendeleo ya elimu kwa shule binafsi wadau hao wamesema kazi inayofanyika ni kwa niaba ya serikali kwa kuwasomesha watoto wa watanzania na kuondoa dhana ya kwamba ni eneo la kujitengenezea faida.

Wadau hao akiwemo Mkurugenzi  wa taasisi ya kielimu ya THE...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Je, kodi ya nyumba inastahili kuondoshwa katika kipindi hiki cha janga la Covid-19?

Nchini Uganda, rais Yoweri Museveni amesema kuwa haikubaliki kwa wenye nyumba kuwafurusha wapangaji wao wanashindwa kulipa kodi katika kipindi hiki.

 

9 years ago

Mwananchi

Watumishi: VAT iondolewe kwenye nyumba

Watumishi wa umma mkoani Morogoro wameiomba Serikali kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) inayotozwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika uuzaji wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Kampuni ya Nyumba za Watumishi (WHC).

 

10 years ago

Mwananchi

JK: Serikali kuondoa urasimu katika kodi za biashara

Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali imedhamiria kuondoa urasimu, rushwa na matatizo kwenye kodi katika biashara, ili kupunguza idadi ya watu laki nane wapya wanaotafuta ajira kila mwaka nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali isiache mwanya katika kukusanya kodi

Serikali sikivu ya Chama Cha Mapinduzi, imesikia kilio cha wengi kuhusu misamaha ya kodi. Juzi Waziri wa Fedha aliwasilisha Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2014, ambao umefuta misamaha ya kodi katika maeneo yaliyokuwa yakilalamikiwa na watu wa kada mbalimbali nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali isipeleke siasa katika nyumba za ibada

Tunalaani vikali hatua ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi kufanya kampeni za kisiasa kanisani kwa kuwataka waumini kupinga muundo wa serikali tatu zilizopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kwa madai kwamba muundo huo utasababisha nchi yetu itawaliwe na jeshi eti kwa kuwa Serikali ya Muungano itashindwa kulipa mishahara ya wanajeshi.

 

10 years ago

Michuzi

PDB YAKIRI KODI ZA BIASHARA SIZIZO RASMI HUISHIA KATIKA MIFUKO YA WATU NA SIO SERIKALI.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti ya Vyuo Vikuu vya Afrika ya Kati na Kusini (ESAURP),Profesa Teddy Maliyamkono akifanya mahojiano mafupi na Waandishi wa habari mara baada ya kumaliza mkutano wa kuwajengea uwezo sekta biashara zisizo rasmi  iliofanyika leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.Baadhi ya Wadau na Wanahabari  wakifuatilia mkutano wa uzinduzi wa mradi wa kuwajengea uwezo wajasiriamali wadogo na wakati kuhuisha biashara zao ili kupata huduma za...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kufuta misamaha ya VAT

Serikali itawasilisha bungeni rasimu ya maboresho ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) ambayo itafuta misamaha ya kodi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani