Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali isiache mwanya katika kukusanya kodi

Serikali sikivu ya Chama Cha Mapinduzi, imesikia kilio cha wengi kuhusu misamaha ya kodi. Juzi Waziri wa Fedha aliwasilisha Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2014, ambao umefuta misamaha ya kodi katika maeneo yaliyokuwa yakilalamikiwa na watu wa kada mbalimbali nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

JIJI LA MBEYA LAJIPANGA KUKUSANYA KODI KATIKA MRADI WA SOKO JIPYA LA MWANJELWA

Kaimu Mkurugenzi jiji la Mbeya Dkt,Samuel Razalo.
 Na EmanuelMadafa, MbeyaHALMASHAURI ya Jiji la Mbeya, imesema imejipanga vyema katika  kuhakikisha  mradi mkubwa wa soko jipya la mwanjelwa unasimamiwa kikamilifu kwa kufuata  taratibu za serikali sanjali na mikataba  iliyoingia na benki ya CRDB  kwa kipindi cha miaka 15.
Mradi  huo wa soko la kimataifa la Mwanjelwa lililopo jijini Mbeya  ujenzi wake imefikia  asilimia 99 hivyo upo katika hatua za mwisho za kukamilika kwake.
Akizungumza  ofisini...

 

10 years ago

Mwananchi

Nchi inaibiwa kwa kutumia mfumo wa kukusanya kodi

Sakata la wafanyabiashara kufunga maduka kwa siku kadhaa katika baadhi ya miji nchini wakipinga matumizi ya Mashine za Risiti za Kieletroniki (EFD) limeelezwa kukumbwa na vikwazo kutoka kwa baadhi ya vigogo kunufaika na mashine hizo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Tutaendelea kutumia mashine mpya kukusanya kodi — Rais Kikwete

 

D92A6774

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mbumge wa Karatu mchungaji Israeli Nase(Watatu kushoto),Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe (Wapili kushoto),Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo(kushoto) na Mkurugenzi wa Utumishi na utawala wa TRA aliyemwakilisha Kamishna mkuua wa TRA Bwana Abubakari Kunenge (wapili kulia) na kulia ni mwakilishi wa ofisi ya TRA Mkoa Bi.Caroline Ntinku(picha na Freddy Maro).

D92A6757

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria kufungua...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kuangalia kodi ya VAT katika nyumba

WAZIRI wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka amesema watakaa na mamlaka husika na kuangalia uwezekano wa kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) katika nyumba, zinazojengwa na mifuko ya hifadhi ya jamii ili ziweze kuuzwa kwa wananchi kwa bei inayoridhisha.

 

10 years ago

Mwananchi

JK: Serikali kuondoa urasimu katika kodi za biashara

Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali imedhamiria kuondoa urasimu, rushwa na matatizo kwenye kodi katika biashara, ili kupunguza idadi ya watu laki nane wapya wanaotafuta ajira kila mwaka nchini.

 

10 years ago

Michuzi

PDB YAKIRI KODI ZA BIASHARA SIZIZO RASMI HUISHIA KATIKA MIFUKO YA WATU NA SIO SERIKALI.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti ya Vyuo Vikuu vya Afrika ya Kati na Kusini (ESAURP),Profesa Teddy Maliyamkono akifanya mahojiano mafupi na Waandishi wa habari mara baada ya kumaliza mkutano wa kuwajengea uwezo sekta biashara zisizo rasmi  iliofanyika leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.Baadhi ya Wadau na Wanahabari  wakifuatilia mkutano wa uzinduzi wa mradi wa kuwajengea uwezo wajasiriamali wadogo na wakati kuhuisha biashara zao ili kupata huduma za...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI DK.MPANGO ASEMA SERIKALI INAPENDEKEZA KUSAMEHE KODI YA ONGEZEKO LA THAMAN I(VAT) KATIKA BIMA YA KILIMO CHA MAZAO


Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk.Philip Mpango amesema kuwa Katika Bajeti ya Fedha ya mwaka 2020/2021,Serikali inapendekeza kusamehe Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye bima ya kilimo cha mazao. 
Dk.Mpango amesema hayo leo Bungeni Mjini Dodoma wakati anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali yenye jumla ya Sh.Trilioni 34.88 ambapo katika eneo hilo la kusamehe kodi amefafanua lengo ni kupunguza gharama na kutoa unafuu katika bima za kilimo kwa ajili ya kuwawezesha...

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Habarileo

Tunduru wahimizwa kukusanya maduhuli ya serikali

OFISI ya Madini wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, imetakiwa kutozembea na kusimamia ipasavyo ukusanyaji wa maduhuli na ulipwaji wa mirahaba, kwa kuwa sasa ofisi hiyo haijakusanya maduhuli hayo kwa kiwango cha kuridhisha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani