Watumishi: VAT iondolewe kwenye nyumba
Watumishi wa umma mkoani Morogoro wameiomba Serikali kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) inayotozwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika uuzaji wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Kampuni ya Nyumba za Watumishi (WHC).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog14 Aug
Taasisi ya Watumishi Housing kutumia bilioni 400 kujenga nyumba za watumishi wa serikali
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa akitoa mada kuhusu mkopo wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa kwa watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Agosti 14, 2014.
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO-Dar es Salaam.
TAASISI ya Watumishi Housing Company imetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi za watumishi wa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-UZldFb3JMoA/VGgOvBBkTBI/AAAAAAAGxko/sTc8Io0ylbQ/s72-c/unnamed.jpg)
Watumishi Housing Company na Kibaha Education Centre waafikiana kushirikiana katika ujenzi wa nyumba za watumishi wa umma
![](http://3.bp.blogspot.com/-UZldFb3JMoA/VGgOvBBkTBI/AAAAAAAGxko/sTc8Io0ylbQ/s1600/unnamed.jpg)
9 years ago
VijimamboWATUMISHI HOUSING COMPANY, BENKI YA CRDB WATIA SAINI MKATABA WA MIKOPO YA NYUMBA KWA WATUMISHI WA UMMA
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo (kulia), akitia saini mkataba huo. Kutoka kushoto ni Chief Operation Officer wa WHCTZ, Weja Ng'olo, Ofisa Mtendaji Mkuu wa TMRC, Oscar Mgaya, Mkurugenzi wa Watumishi Housing Company, Dk.Fred Msemwa na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Charles Kimei.
5 years ago
MichuziDKT MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI HOUSE KUWEKA KIPAUMBELE WATUMISHI WA UMMA KUNUNUA NYUMBA ZA TAASISI HIYO
Amesema licha kutoa kipaumbele Kwa watumishi wa umma lakini pia asilimia nyingine lazima iende Kwa watumishi ambao wapo kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.
Dkt Mwanjelwa ameyasema hayo jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kutembelea moja ya miradi...
11 years ago
Habarileo01 Mar
Serikali kuangalia kodi ya VAT katika nyumba
WAZIRI wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka amesema watakaa na mamlaka husika na kuangalia uwezekano wa kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) katika nyumba, zinazojengwa na mifuko ya hifadhi ya jamii ili ziweze kuuzwa kwa wananchi kwa bei inayoridhisha.
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Taasisi kuwajengea watumishi nyumba
TAASISI ya Watumishi Housing inatarajia kuondoa kero kwa baadhi ya watumishi serikalini hasa wale wanaolipwa mshahara mdogo kustaafu huku wakiwa hawana nyumba wanazomiliki kwa kujenga nyumba na kisha kuwauzia kwa...
10 years ago
Habarileo16 Nov
Ghasia ahimiza ujenzi nyumba za watumishi
SERIKALI imetoa agizo kwa wakuu wote wa mikoa nchini, kuhakikisha kuwa kila halmashauri nchini inatenga eneo mahususi kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi, kwa kuwa nyumba ni mahitaji muhimu kwa kila mtumishi nchini.
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
WHC yadhamiria kuwamilikisha nyumba watumishi wa umma
TAKWIMU zinaonyesha kwamba kuna mahitaji ya nyumba milioni tatu nchini na kila mwaka zinatakiwa nyumba 200,000. Wakati takwimu zikionyesha hivyo, ni asilimia mbili tu ya watu wanaojenga kupitia mikopo ya...
11 years ago
Mwananchi15 May
WHC kumaliza kero za nyumba kwa watumishi?