Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge laridhia Azimio la SADC

Mwigulu NchembaWATANZANIA wengi wataweza kufanya biashara na kuwekeza katika nchi za Kusini mwa Afrika kuanzia sasa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Baraza la Mawaziri SADC, Laridhia Usafirishaji wa Bidhaa Muhimu, Kudhibiti Maambukizi ya Covid-19



Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC), ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Prof. Palamagamba Kabudi Akizungumza katika Mkutano wa Maafisa Waandamizi wa Wizara ya Mambo Nje, Mambo ya Ndani, Fedha na Mipango, Viwanda na Utalii wa SADC, kuhusu mwenendo wa...

 

5 years ago

CCM Blog

BARAZA LA MAWAZIRI SADC, LARIDHIA USAFIRISHAJI WA BIDHAA MUHIMU, KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA CORONA COVID-19

  Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC), ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Prof. Palamagamba Kabudi Akizungumza katika Mkutano wa Maafisa Waandamizi wa Wizara ya Mambo Nje, Mambo ya Ndani, Fedha na Mipango, Viwanda na Utalii wa SADC, kuhusu mwenendo wa Covid-19 kwa Nchi za SADC uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, TanzaniaMwenyekiti wa Mkutano wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge laridhia Serikali kufuta deni

Bunge limeridhia azimio la kufuta na kusamehe madai au hasara itokanayo na upotevu wa fedha na vifaa vya Serikali vya zaidi ya Sh10 bilioni za kipindi kilichoishia Juni 30, 2011.

 

11 years ago

Michuzi

bunge la kenya laridhia ndoa ya wake wengi, mwanaume halazimiki kushauriana na mkewe kuwa anaoa tena

Bunge nchini  Kenya limepitisha sheria inayomruhusu mwanaume kuoa wake wengi atakavyo, na halazimiki kumshauri mke wake juu ya uamuzi huo.

Katika marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya Kenya yaliyopitishwa Alhamisi iliyopita, hata hivyo ndoa zote zitatakiwa kusajiliwa na umri wa chini  wa mwanamke kuweza kuolewa umewekwa ili kuzuia ndoa za mapema  za watoto, hasa wasichana.

Siku hiyo ya Alhamisi Wabunge wote wanaume, ambao ni wengi, waliunga mkono kuondolewa kwa kipengele katika Sheria hiyo ya...

 

11 years ago

Michuzi

Wabunge Bunge la SADC wamchagua Mh. Makinda kuwa Rais mpya wa Bunge hilo

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisoma hotuba yake ya shukrani kwa wajumbe wa Mkutano wa 36 wa Bunge la SADC ambao ni Maspika na Wabunge kutoka Mabunge ya nchi wanachama wa wa SADC baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Bunge hilo kwa miaka miwili ijayo Mjini Victoria Falls, Zimbabwe. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akielekezwa jambo na Katibu Mkuu wa Bunge la SADC Dkt. Esau Chiviya mara baada ya kukalia kiti cha Urais wa Bunge hilo baada ya kuchaguliwa rasmi kuwa rais wa Bunge hilo.Spika wa...

 

11 years ago

Habarileo

Bunge latoa Azimio

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Edward LowassaBunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania juzi lilisitisha shughuli zake na kutoa Azimio kutokana na kifo cha Mandela, kwa kumuenzi kwa kudumisha umoja, amani, mshikamano ili kuleta maendeleo.

 

11 years ago

Habarileo

Bunge kutoa Azimio la Mandela

KUTOKANA na kifo cha Rais wa kwanza wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, Bunge la Tanzania leo litatoa maazimio ya kumsifu na kumpongeza, kutokana na ukombozi wa bara la Afrika.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA BUNGE LA SADC NA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA ASHIRIKI MISA MAALUM YA KUMWOMBEA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA MAREHEMU MICHAEL SATA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE LA ZAMBIA MJINI LUSAKA LEO

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Sata ukiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia leo tayari kwa misa Maalum iliyoandaliwa kabla ya mazishi kufanyika hapo kesho.Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata kabla ya maziko yake kufanyika hapo kesho.Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu wa Zambia Mhe. Lupia Banda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani