Linah Afunguka Tattoo Ya Mpenzi Wake
Mwanamuziki nchini Tanzania Asterlinah Sanga ‘Linah’ akiwa na William Bugeme ‘Boss Mtoto’
Mwanamuziki nchini Tanzania, Asterlina Sanga ‘Linah’ amekiri mpenzi wake wa sasa William Bugeme ‘Boss mtoto’ kujichora tattoo yenye jina lake ikiwa ni muda mfupi umepita tangu kuanzishwa kwa uhusiano wao.
Amedai kuwa kwa mara ya kwanza yeye na boss mtoto walikutana kwenye mgahawa wa News Cafe na kubadilishana namba za simu ikiwa sasa ni mwezi mmoja umepita tangu waanzishe penzi hilo jipya.
William...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo520 Oct
Mabeste na mpenzi wake Lisa wajichora tattoo za majina yao
9 years ago
Bongo521 Oct
Mabeste adai hawezi kujuta kujichora tattoo ya jina la mpenzi wake
9 years ago
Bongo504 Sep
Shilole naye achora Tattoo ya jina la mpenzi wake Nuh Mziwanda (Picha)
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Aliyeponzwa na tattoo za Diamond afunguka
MWANADADA anayedaiwa kutoka kimahaba na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul ‘Diamond’, Farida Msofe, amefunguka kuwa aliyekuwa mume wake ndiye chanzo cha yeye kuwa na mapenzi na msanii...
9 years ago
Bongo504 Jan
Sitochora tena tattoo ya jina la mpenzi wangu – Shilole
Shilole ameapa kutorudia tena kuchora tattoo yenye jina la mpenzi wake.
Hivi karibuni muimbaji huyo alilazimika kuifuta tattoo ya jina la aliyekuwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
Shilole amesema kujichora tattoo ya jila Nuh kumemharibia issue kibao.
“Tattoo hapa ni empty,” aliambia 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Jumatatu hii.
“SiwezI tena kuchora tattoo kwaajili ya mapenzi. Nimeamua kama tutapendana tutapenda rohoni kwa sababu nishaona hakuna sababu ya kuchora tattoo. Unaweza...
9 years ago
Bongo505 Jan
Una mpango wa kuchora tattoo ya mpenzi wako? Shilole ana ushauri kuhusu hilo
Shilole a.k.a Shishi baby ametoa ushauri kwa watu kutochora tattoo za wapenzi wao, ili isije kuwapa shida pale watakapoachana kama ilivyomtokea yeye na aliyekuwa mpenzi wake Nuh Mziwanda.
Shishi ametoa ushauri huo baada ya kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake Nuh Mziwanda.
“Sina tattoo tena nimeamua tu kuifuta,tutapendana tu kama ni mapenzi tutapeana ya rohoni,mambo ya kuchorana tattoo nimeshaacha,nishaona hakuna sababu ya kuchora unaweza kuchora tattoo ukazuia mambo yako mengi yanayopita.”...
9 years ago
Bongo519 Oct
Wasichana wengi wanamtamani mpenzi wangu — Linah
10 years ago
Bongo Movies04 Jun
Wema na mpenzi wa Linah kunani?? Picha yao ya kimahaba yanaswa mtandaoni
Nadhani hatuna haja ya kueleza zaidi ni maeneo gani hiyo picha itakuwa imepigwa. Wewe mwenyewe unaweza kuwa shahidi wetu. Pichani ni mwanadada wetu Wema Sepetu na kijana aliyetajwa kuwa ni mpenzi wa mwanamuziki linah sana. Hatujui kinachoendelea mpaka sasa, yawezejana ni video mpya inafanyiwa promo, yawezekana ni tangazo la TV au bidhaa mpya mtaani na wala haituhusu, Ila tumeona si vyema tusipowaletea kinachojiri hivi sasa kati ya hao wawili.
Sisi yetu macho.
Kufahamu ni KODI gani...
10 years ago
Bongo Movies04 Jun
Wema na mume wa mpenzi wa Linah kunani?? Picha yao ya kimahaba yanaswa mtandaoni
Nadhani hatuna haja ya kueleza zaidi ni maeneo gani hiyo picha itakuwa imepigwa. Wewe mwenyewe unaweza kuwa shahidi wetu. Pichani ni mwanadada wetu Wema Sepetu na kijana aliyetajwa kuwa ni mpenzi wa mwanamuziki linah sana. Hatujui kinachoendelea mpaka sasa, yawezejana ni video mpya inafanyiwa promo, yawezekana ni tangazo la TV au bidhaa mpya mtaani na wala haituhusu, Ila tumeona si vyema tusipowaletea kinachojiri hivi sasa kati ya hao wawili.
Sisi yetu macho.
Kufahamu ni KODI gani...