Mabeste na mpenzi wake Lisa wajichora tattoo za majina yao
Rapper Mabeste pamoja mpenzi wake Lisa Fickenscher kila mmoja amejichora tatoo ya jina la mwenzake ili kuonyesha jinsi gani wawili hao wanapenda. Kupitia Instagram, Lisa ameweka picha ya tattoo hiyo ya mpenzi wake na kuandika: What Else Do I Need In This Life?? Thanks Bae!! I Love You Every Second Of My Life Mabeste, I […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo521 Oct
Mabeste adai hawezi kujuta kujichora tattoo ya jina la mpenzi wake
10 years ago
CloudsFM02 Jul
Linah Afunguka Tattoo Ya Mpenzi Wake
![Mwanamuziki nchini Tanzania Asterlinah Sanga 'Linah' akiwa na William Bugeme 'Boss Mtoto'](https://hivisasa.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/linah.png)
Mwanamuziki nchini Tanzania Asterlinah Sanga ‘Linah’ akiwa na William Bugeme ‘Boss Mtoto’
Mwanamuziki nchini Tanzania, Asterlina Sanga ‘Linah’ amekiri mpenzi wake wa sasa William Bugeme ‘Boss mtoto’ kujichora tattoo yenye jina lake ikiwa ni muda mfupi umepita tangu kuanzishwa kwa uhusiano wao.
Amedai kuwa kwa mara ya kwanza yeye na boss mtoto walikutana kwenye mgahawa wa News Cafe na kubadilishana namba za simu ikiwa sasa ni mwezi mmoja umepita tangu waanzishe penzi hilo jipya.
![William Bugema 'Boss Mtoto' akichorwa tattoo](https://hivisasa.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/Linah-Wangu.jpg)
William...
9 years ago
Bongo504 Sep
Shilole naye achora Tattoo ya jina la mpenzi wake Nuh Mziwanda (Picha)
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Mambo 5 Usiyoyajua kuhusu MABESTE,LISA
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MARA nyingi tunapenda kuwafahamu watu maarufu nje ya maisha yao ya sanaa, licha ya kutamani kuwafahamu
imekuwa ngumu kutokana na mastaa hao kutoonekana mara kwa mara kitaa kwa lengo la kuongeza mvuto
kwenye jamii.
Swaggaz wiki limetua maskani mwa nyota wa muziki wa rap, Venance maarufu kama Mabeste na ametuambia
mambo yake kumi ambayo hujawahi kuyasikia popote, kama uliyasikia basi hapa anakueleza vizuri.
ALIVYOJUANA NA PANCHO
Mabeste anasema yeye na Pancho walikuwa...
10 years ago
Bongo521 Dec
Mabeste: Mabeste asimulia mke wake alivyougua kwa muda mrefu hadi kudhani atampoteza
9 years ago
Bongo514 Nov
Video: Meneja na mke wa Mabeste, Lisa apanga kuwakutanisha mastaa wa kike kwenye mchezo wa ‘Rede’
![Lisa Mabeste](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Lisa-Mabeste-300x194.jpg)
Kama wewe ni msichana una miaka zaidi ya 25 kwa sasa na enzi za utoto wako hukuwahi kucheza mchezo wa ‘Rede’, utakuwa ulikosa starehe kubwa.
Rede ni mchezo waliokuwa wakicheza wasichana ambapo wawili hukaa huku na kule na mmoja kuwa katikati akijitahidi kuijaza chupa mchanga huku akikwepa mpira anaopondwa na wawili hao.
Meneja na mke wa rapper Mabeste, Lisa Karl Fickenscher amesema anataka kuurudisha mchezo huo kwa kuandaa tamasha litakalohusisha mastaa mbalimbali wa kike na mashabiki...
9 years ago
Bongo529 Sep
Mabeste amtumia Lisa (mama wa mwanaye) kama video model kwenye video yake mpya ‘Usiwe Bubu’
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-JjlrjOWX1qc/Vl7Knas61FI/AAAAAAADDIg/vlG__SBzO3M/s72-c/OTH_3308.jpg)
BALOZI SEFUE AWAAGIZA WATUMISHI WA UMMA KUVAA BEJI ZENYE MAJINA YAO WAWAPO KATIKA MAENEO YAO YA KAZI
![](http://2.bp.blogspot.com/-JjlrjOWX1qc/Vl7Knas61FI/AAAAAAADDIg/vlG__SBzO3M/s640/OTH_3308.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-D0qj5GQeaI4/Vl7KmA7BGHI/AAAAAAADDIY/e9jKFKxGbiM/s640/OTH_3304.jpg)
Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue akiwaonyesha waandishi wa Habari (hawapo pichani) beji yenye jina lake ambayo amewaagiza watumishi wa Umma kuivaa wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi. Balozi Sefue alifanya mkutano na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es Salaam jana na kutoa taarifa ya Serikali kuhusu kesi ya Serious Fraud Office (SFO) dhidi ya Standard Bank.
9 years ago
Bongo504 Jan
Sitochora tena tattoo ya jina la mpenzi wangu – Shilole
![shilole-2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/shilole-2-300x194.jpg)
Shilole ameapa kutorudia tena kuchora tattoo yenye jina la mpenzi wake.
Hivi karibuni muimbaji huyo alilazimika kuifuta tattoo ya jina la aliyekuwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
Shilole amesema kujichora tattoo ya jila Nuh kumemharibia issue kibao.
“Tattoo hapa ni empty,” aliambia 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Jumatatu hii.
“SiwezI tena kuchora tattoo kwaajili ya mapenzi. Nimeamua kama tutapendana tutapenda rohoni kwa sababu nishaona hakuna sababu ya kuchora tattoo. Unaweza...