Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miss Uni College Temeke Jumamosi Dar Live, Snura kuliteka jukwaa

Msanii wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini, Snura Mushi “Mamaa Majanga” atapamba mashindano ya Miss Uni-College Temeke 2014 yaliyopangwa kufanyika kwenye ukumbi wa Dar Live Mbagala Jumamosi.  Mbali ya Snura ambaye atafanya shoo kwa kutumbuiza nyimbo zake zote kwa mara ya kwanza, pia bingwa wa masindano ya Tikisa dance 2012 Hassan Jigoro naye atapamba mashindano hayo yatakayoshirikisha juma ya warembo 12 kutoka vyuo mbali mbali vya elimu ya juu vilivyomo manispaa ya Temeke.  Warembo hao ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MISS UNI-COLLEGE TEMEKE WATEMBELEA GLOBAL, KUCHUANA JUMAMOSI HII DAR LIVE

Warembo wanaowania taji la Miss Uni-College Temeke wakiwa na magazeti ya Global Publishers. Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota (kulia) akifafanua jambo kwa warembo hao.…

 

11 years ago

GPL

MISS UNI-COLLEGE TEMEKE KUCHUANA J'MOSI HII DAR LIVE

Warembo wanaowania shindano la kumsaka Miss Uni-College Temeke watachuana katika fainali zitakazofanyika Jumamosi ya Mei 17 mwaka huu katika Ukumbi wa Kisasa wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. Mshindi wa shindano hilo atajizolea zawadi kibao ikiwemo fedha taslimu shilingi 300,000/= na shopping ya nguvu yenye thamani ya shilingi 250,000/= kutoka duka la Robby One… ...

 

11 years ago

GPL

SNURA AWAPAGAWISHA MASHABIKI KWA MAUNO DAR LIVE

Mwanadada Snura Mushi 'Mamaa Majanga' usiku wa kuamkia leo amewapagawisha vilivyo mashabiki wa Dar Live baada ya kudondosha bonge la shoo sambamba na vijana wake.

 

10 years ago

GPL

DC TEMEKE AHUDHURIA SEMINA YA UJASIRIAMALI DAR LIVE

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Ideal Health Care Saravai R. Izina akitoa ufafanuzi katika semina hiyo. Wanasemina wakifuatilia jambo. Mshauri na mtafiti wa masuala ya afya wa Ideal Health Care, John Kabugi akielezea jambo katika semina hiyo.…

 

10 years ago

GPL

WAFALME WAWILI, MALKIA MMOJA, JUKWAA MOJA PASAKA DAR LIVE

MACHO na masikio ya wapenda burudani wote yamehamia ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, jijini Dar ambapo wafalme wawili wa muziki Bongo, Mfalme wa Vigodoro, Msaga Sumu pamoja na Mfalme wa Bongo Fleva, Ali Kiba wataungana na Malkia wa Masauti, Isha Mashauzi katika kuandika historia kwa mara ya kwanza. Mfalme wa Bongo Fleva, Ali Kiba. Akizungumza na Showbiz, mratibu wa burudani wa ukumbi huo,...

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT, YAMOTO BAND NDANI YA JUKWAA MOJA DAR LIVE JUNI 28, 2014

Na Nassor Gallu
PATAKUWA hapatoshi katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live, uliopo Mbagala-Zakhem pale watakapozishusha bendi mbili zinazosumbua mjini, Skylight pamoja na Yamoto, Jumamosi ya Juni 28, mwaka huu. Bendi ya Skylight na Yamoto Bendi wakiwa katika picha ya pamoja kujiandaa na Funga Kazi ndani ya Dar Live siku ya Jumamosi Juni 28, 2014. Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba, ameliambia Championi Jumatano kuwa,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Juma Nature na wenzake kuiteka Dar katika tamasha la “Komaa” litakalofanyika jumamosi ukumbi wa Dar Live Mbagala

Msanii Juma Nature ‘Kiroboto’ akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu tamasha kubwa la kuadhimisha miaka 16 ya kazi zake za muziki nchini  pamoja na hitimisho la sherehe za mwaka mmoja za Kituo cha Redio cha EFM linalofahamika kwa jina la Komaa Concert litakalofanyika kwa mara ya kwanza Jumamosi Ukumbi wa Dar Live Mbagala kuanzia saa 12 jioni. Kushoto ni  Mkurugenzi wa Idara ya Mahusiano na Mawasiliano wa Kituo cha Redio cha EFM, Denis Ssebo,...

 

11 years ago

GPL

NATURE, MZEE YUSUF, TUNDA MAN, KHADIJA KOPA, SNURA, KR, BAMBO WAWASHA MOTO SHOO YA SAYONA DAR LIVE

   Juma Nature akiwapagawisha mashabiki wake Dar Live. Mzee Yusuf akizikonga nyoyo za mashabiki. Tunda Man nae…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani