Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFALME WAWILI, MALKIA MMOJA, JUKWAA MOJA PASAKA DAR LIVE

MACHO na masikio ya wapenda burudani wote yamehamia ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, jijini Dar ambapo wafalme wawili wa muziki Bongo, Mfalme wa Vigodoro, Msaga Sumu pamoja na Mfalme wa Bongo Fleva, Ali Kiba wataungana na Malkia wa Masauti, Isha Mashauzi katika kuandika historia kwa mara ya kwanza. Mfalme wa Bongo Fleva, Ali Kiba. Akizungumza na Showbiz, mratibu wa burudani wa ukumbi huo,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SKYLIGHT, YAMOTO BAND NDANI YA JUKWAA MOJA DAR LIVE JUNI 28, 2014

Na Nassor Gallu
PATAKUWA hapatoshi katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live, uliopo Mbagala-Zakhem pale watakapozishusha bendi mbili zinazosumbua mjini, Skylight pamoja na Yamoto, Jumamosi ya Juni 28, mwaka huu. Bendi ya Skylight na Yamoto Bendi wakiwa katika picha ya pamoja kujiandaa na Funga Kazi ndani ya Dar Live siku ya Jumamosi Juni 28, 2014. Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba, ameliambia Championi Jumatano kuwa,...

 

10 years ago

Mtanzania

Ali Kiba, Isha Mashauzi, Msaga Sumu jukwaa moja Pasaka

Ali ...NA MWANDISHI WETU
MSANII Ali Kiba anatarajiwa kufanya onyesho lake la pili ‘live’ siku ya Sikukuu ya Pasaka katika ukumbi wa burudani wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam.
Onyesho hilo lililopewa jina la Mwana Dar Live, litakuwa la pili kwa msanii huyo kuimba ‘live’ na bendi ambapo mara ya kwanza aliimba mwanzoni mwa mwaka huu wakati wa Tamasha la Sauti za Busara katika Ukumbi wa Ngome Kongwe visiwani Zanzibar.
Mratibu wa onyesho hilo, Abdallah Mrisho, alisema wasanii...

 

10 years ago

GPL

USIKU WA WAFALME DAR LIVE DIAMOND: NILISHAGANDISHWA NIGERIA SAA 8

DAR ES SALAAM,  Tanzania
BAADA ya kuchukua tuzo tatu kwa mpigo za Channel O zijulikanazo kama Channel O Africa Music Video Awards (Choamva), staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka ya moyoni na kusema kuwa alipokuwa nchini Nigeria alishawahi kugandishwa kwa saa 8 kisa kufanya kolabo. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Diamond aliyasema hayo alipokuwa na mazungumzo na...

 

10 years ago

GPL

USIKU WA WAFALME DAR LIVE: DIAMOND KUTAMBULISHA MADANSA WAPYA

Stori: Andrew Carlos
ZIKIWA zimebaki siku tano kamili kuwaka kwa moto wa burudani ndani ya Dar Live, Desemba 25, mwaka huu, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameweka wazi kuwa siku hiyo atawatambulisha rasmi madansa wake wapya. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa katika pozi ndani ya studio za Global TV Online. Akizungumza katika mahojiano na Global TV Online...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA WAFALME: DIAMOND, MZEE YUSUF WAWEKA HISTORIA DAR LIVE

Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo. Diamond akiwachombeza mashabiki.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani