TAMASHA LA WAFALME KUWEKA HISTORIA SIKUKUU YA XMAS DAR LIVE
![](http://api.ning.com:80/files/3WL4yNYnOoYenlAftDFTvDP*VqNROFcxHrF7NEc4uwh1u0snl4f0QfhrAcJFYY0OKeZ54t4GPpzdvp2cvNAB5GFyQmudF5fr/DIAMONDNAMZEEYUSUF.jpg?width=650)
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL18 Dec
10 years ago
GPLTAMASHA LA WAFALME: DIAMOND, MZEE YUSUF WAWEKA HISTORIA DAR LIVE
10 years ago
Dewji Blog29 Dec
VIDEO Tamasha la Wafalme: Diamond, Mzee Yusuf waweka historia Dar Live
MFALME wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ usiku wa Krismasi amewadhihirishia mashabiki wake kuwa ni mfalme baada ya kufanya makamuzi ya hatari katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar kwenye Tamasha la Wafalmelililodhaminiwa na VODACOM pamoja na COCACOLA.
Staa huyo aligonga ngoma zake zote na kuzikonga vilivyo nyoyo za mashabiki waliofurika katika uwanja huo wa burudani.
Mbali na Diamond, Mfalme wa Taarab nchini, Mzee Yusuf naye alifanya shoo kali na kuwapagawisha...
11 years ago
GPL26 Dec
10 years ago
GPL26 Dec
10 years ago
GPL27 Dec
10 years ago
GPL27 Dec
9 years ago
Global Publishers20 Dec
10 years ago
GPLTAMASHA LA WAFALME: MZEE YUSUF AFANYA KWELI, NYOMI YAPAGAWA DAR LIVE