Ali Kiba, Isha Mashauzi, Msaga Sumu jukwaa moja Pasaka
NA MWANDISHI WETU
MSANII Ali Kiba anatarajiwa kufanya onyesho lake la pili ‘live’ siku ya Sikukuu ya Pasaka katika ukumbi wa burudani wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam.
Onyesho hilo lililopewa jina la Mwana Dar Live, litakuwa la pili kwa msanii huyo kuimba ‘live’ na bendi ambapo mara ya kwanza aliimba mwanzoni mwa mwaka huu wakati wa Tamasha la Sauti za Busara katika Ukumbi wa Ngome Kongwe visiwani Zanzibar.
Mratibu wa onyesho hilo, Abdallah Mrisho, alisema wasanii...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog05 Apr
Ali Kiba, Isha Mashauzi, Msaga Sumu na wengineo kupagawisha Pasaka Dar Live leo
Ile shoo kubwa na ya kijanja iliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki wengi wa burudani imewadia ambapo leo Aprili, 5 (Sikukuu ya Pasaka) ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar mastaa wa muziki Bongo kama, Ali Kiba ‘Mwana Dar Live’, Isha Mashauzi, Msaga Sumu na wengineo wanatarajiwa kutikisa vilivyo mashabiki watakaojitokeza.
Kwa mujibu wa Mratibu wa burudani katika ukumbi huo, Abdallah Mrisho ‘Abby Cool’ aliawaomba mashabiki wote kufika kwa wingi...
10 years ago
GPL24 Mar
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3BUwwLuJMnQP8REKXqJ0zTlXDt6LfKt7cFKoM7yAk-cPgWxYhqEdc6p1m4fs55U7PqcgbECYiFXizswSttVGDU1RB02trlLb/kibaaaaaaa.jpg)
MWANA DAR LIVE CONCERT: ALI KIBA, MSAGA SUMU, ISHA ‘LIVE’ NA WAANDISHI LEO
10 years ago
Mtanzania10 Jun
Jokha Kassim, Msaga Sumu jukwaa moja
NA MWALI IBRAHIM
WAIMBAJI wa taarabu, Jokha Kassim na Msaga Sumu, wanatarajiwa kunogesha onyesho maalumu la kundi la taarabu la Wakali wao Modern Taradansa, litakalofanyika Ijumaa hii katika ukumbi wa JM Hotel, Manzese, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa kundi la Wakali wao, Thabit Abdul, alisema usiku huo ni maalumu kwa ajili ya kuukaribisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, unaotarajiwa kuanza Juni 19.
“Tumewaandalia mashabiki wetu zawadi ya wimbo mpya ambao tutauzindua siku hiyo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zQ2pP5BJqrUxVmkJZ73AdJUMbALcrBvAFU5o1o6j8jNwk2c7BHhvp3hy4wHlN7XmwYlxIkUYg-Sor1LrYkZCIaaS5Ur6SGVg/MwanaDar.jpg?width=650)
MWANA DAR LIVE CONCERT, ALI KIBA, ISHA WATAMBIANA
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-aMZYI63gCX4/VP32rRWRhmI/AAAAAAAHJOM/QB8NDRmZXCk/s72-c/press%2Bpic.jpg)
MZEE YUSSUF NA ISHA MASHAUZI WATHIBITISHA RASMI MTANANGE WA JAHAZI NA MASHAUZI CLASSIC
Onyesho hilo litafanyika mwezi huu Jumapili tarehe 22 ndani ya ukumbi wa Travertine Hotel Magomeni. Mkurugenzi wa Jahazi, Mzee Yussuf na mkurugenzi wa Mashauzi Classic, Isha Ramadhan maarufu kama Isha Mashauzi, wamesema siku hiyo hatumwi mtoto dukani.
Wakiongea katika mkutano huo wa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-BqeBrXgbyOY/VO9om2AWMfI/AAAAAAAHGHE/sM0nxFtewJE/s72-c/unnamed%2B(28).jpg)
JAHAZI MODERN TAARAB NA MASHAUZI CLASSIC JUKWAA MOJA MACHI 22 …ni Usiku wa Baba na Mwana
![](http://1.bp.blogspot.com/-BqeBrXgbyOY/VO9om2AWMfI/AAAAAAAHGHE/sM0nxFtewJE/s1600/unnamed%2B(28).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qhmaNpdkdBtFSQp3B6eGl8jHikY3acy4wdCm4mSyXwFEHFoAicJifiMtGgotJCxpCkTGdCpiQQMaUaHF38CclfR2OVMcpaKv/2.gif)
WAFALME WAWILI, MALKIA MMOJA, JUKWAA MOJA PASAKA DAR LIVE