Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAHAZI MODERN TAARAB NA MASHAUZI CLASSIC JUKWAA MOJA MACHI 22 …ni Usiku wa Baba na Mwana

Hatimaye makundi mawili yanayoaminika kuwa na mashabiki wengi zaidi katika taarab, Jahazi Modern Taarab na Mashauzi Classic yatafanya onyesho la pamoja mwezi ujao.Onyesho hilo litafanyika Travertine Hotel Magomeni jijini Dar es Salaam, Jumapili ya tarehe 22 mwezi Machi.Hii inakuwa ni mara ya pili kwa makundi hayo mawili kufanya onyesho la pamoja (bila kushirikishwa makundi mengine).Onyesho la kwanza lililopewa jina la Usiku wa Baba na Mwana lilifanyika miaka minne iliyopita ndani ya ukumbi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MZEE YUSSUF NA ISHA MASHAUZI WATHIBITISHA RASMI MTANANGE WA JAHAZI NA MASHAUZI CLASSIC

Hatimaye wakurugenzi wa Mashauzi Classic na Jahazi Modern Taarab, wamefanya mkutano na waandishi wa habari na kuthibitisha kuwepo kwa onyesho la pamoja la makundi hayo yenye nguvu katika muziki wa taarab.
 Onyesho hilo litafanyika mwezi huu Jumapili tarehe 22 ndani ya ukumbi wa Travertine Hotel Magomeni. Mkurugenzi wa Jahazi, Mzee Yussuf na mkurugenzi wa Mashauzi Classic, Isha Ramadhan maarufu kama Isha Mashauzi, wamesema siku hiyo hatumwi mtoto dukani. 
 Wakiongea katika mkutano huo wa...

 

11 years ago

GPL

JAHAZI MODERN TAARAB KUPELEKA UTAMBULISHO WA NYIMBO MPYA MOROGORO

KUNDI la Jahazi Modern Taarab limefafanua ni kwanini limeamua kuuchagua mji wa Morogoro kama kituo chao cha kwanza cha kutambulishia nyimbo zao mpya zitakazounda albam yao mpya ijayo. Jahazi wanatagemewa kufanya onyesho maalum Morogoro kwaajili ya kuwaonyesha nyimbo mpya mashabiki wao Ijumaa ya tarehe 31 mwezi huu ndani ya ukumbi wa Tanzanite Complex. Jana kiongozi wa Jahazi Modern Taraab Mohamed Mauji alifanya mahojiano na...

 

11 years ago

GPL

JAHAZI MODERN TAARAB WAFUNIKA DAR LIVE SIKUKUU YA IDD MOSI

Waimbaji wa kundi la Jahazi Morden Taarab wakiwa jukwaani wakati wakifanya yao katika sikukuu ya Idd, Dar Live. Mashabiki kibao wakiwa wamejazana mbele ya steji…

 

10 years ago

Michuzi

Akudo Impact, Mashujaa Music na Jahazi Modern Taarab kusindikiza uzinduzi wa Albam ya Tarsis Masela

BENDI mbili za muziki wa dansi, Akudo Impact, Mashujaa Music pamoja na kundi la mahiri la muziki wa taarab la Jahazi Modern Classic vitasindikiza uzinduzi wa albamu mpya wa msanii, Tarsis Masela (pichani katikati) unaotarajiwa kufanyika Novemba 21 kwenye ukumbi wa Ten Lounge jijini Dar es Salaam. 
Akizungumza jijini Dar es salam leo , Meneja wa mwanamuziki huyo, Ray Matata, alisema kuwa maandalizi ya uzinduzi huo yamekamilika na bendi zote tatu zimethibitisha kutoa burudani siku ya uzinduzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani