Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ali Kiba, Isha Mashauzi, Msaga Sumu na wengineo kupagawisha Pasaka Dar Live leo

MwanaDarIle shoo kubwa  na ya kijanja iliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki wengi wa burudani imewadia ambapo leo Aprili, 5 (Sikukuu ya Pasaka) ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar mastaa wa muziki Bongo kama, Ali Kiba ‘Mwana Dar Live’, Isha Mashauzi, Msaga Sumu na wengineo wanatarajiwa kutikisa vilivyo mashabiki watakaojitokeza. 

Kwa mujibu wa  Mratibu wa burudani katika ukumbi huo, Abdallah Mrisho ‘Abby Cool’ aliawaomba mashabiki wote kufika kwa wingi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Ali Kiba, Isha Mashauzi, Msaga Sumu jukwaa moja Pasaka

Ali ...NA MWANDISHI WETU
MSANII Ali Kiba anatarajiwa kufanya onyesho lake la pili ‘live’ siku ya Sikukuu ya Pasaka katika ukumbi wa burudani wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam.
Onyesho hilo lililopewa jina la Mwana Dar Live, litakuwa la pili kwa msanii huyo kuimba ‘live’ na bendi ambapo mara ya kwanza aliimba mwanzoni mwa mwaka huu wakati wa Tamasha la Sauti za Busara katika Ukumbi wa Ngome Kongwe visiwani Zanzibar.
Mratibu wa onyesho hilo, Abdallah Mrisho, alisema wasanii...

 

10 years ago

GPL

MWANA DAR LIVE CONCERT: ALI KIBA, MSAGA SUMU, ISHA ‘LIVE’ NA WAANDISHI LEO

MFALME wa Bongo Fleva, Ali Kiba, Mfalme wa Vigodoro, Msaga Sumu pamoja na Malkia wa Masauti, Isha Mashauzi wanatarajiwa kukutana na waandishi wa habari leo katika Hoteli ya Atriums iliyopo Sinza-Africasana, jijini Dar kabla ya kufanyika kwa shoo ya Mwana Dar Live Aprili 5, mwaka huu (Pasaka) ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, jijini Dar. Mfalme wa Bongo Fleva, Ali Kiba. Akizungumza na Showbiz,...

 

10 years ago

GPL

MWANA DAR LIVE CONCERT, ALI KIBA, ISHA WATAMBIANA

MASTAA wa muziki Bongo, Msaga Sumu, Ali Kiba pamoja na Isha Mashauzi juzikati walitambiana kufunika katika shoo inayotambulika kama Mwana Dar Live itakayofanyika Aprili 5, mwaka huu (Pasaka) ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. Wakizungumza na Centre Spread, kwa nyakati tofauti-tofauti mkali wa nyimbo za Mchiriku, Msaga Sumu alisema kuwa siku hiyo atahakikisha anatoa burudani ya...

 

10 years ago

GPL

ISHA MASHAUZI ANOGESHA USIKU WA MWANA DAR LIVE

Isha Mashauzi na kundi lake la Mashauzi Classic wakilishambulia jukwaa la Dar Live usiku huu katika shoo ya Mwana Dar Live. Isha Mashauzi akifanya yake…

 

10 years ago

GPL

MSAGA SUMU AIPAMBA SHOO YA MWANA DAR LIVE

Mwanamuziki Msaga Sumu akiwarusha mashabiki wa Dar Live katika shoo ya Mwana Dar Live usiku huu. Nyomi ikimpa shangwe Msaga Sumu. Msaga…

 

10 years ago

GPL

MSAGA SUMU AIPAMBA SHOO YA IDD MOSI DAR LIVE

Mwanamuziki Msaga Sumu akiwarusha mashabiki wa Dar Live katika shoo ya Idd Mosi usiku huu. Nyomi ikimpa shangwe Msaga Sumu.…

 

10 years ago

Michuzi

CHRISTIAN BELLA, KADJANITO, MSAGA SUMU WAPAGAWISHA DAR LIVE

9Bella akicheza na waimbaji wake.5Mashabiki waliofurika ndani ya ukumbi huo wakiserebuka.6Christian Bella akiimba wimbo wa ‘Nani Kama Mama’.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

GPL

EFM KUSHIRIKIANA NA MSAGA SUMU, DULAYO DAR LIVE DESEMBA 8

Meneja Uhusiano wa EFM, Kanky Mwaigomole,  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Mhariri Msaidizi wa EFM, Samira Kiango,  akitoa ufafanuzi kuhusu tamasha litakalofanyika Dar Live.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani