MISS UNI-COLLEGE TEMEKE KUCHUANA J'MOSI YA LEO DAR LIVE
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
MISS UNI-COLLEGE TEMEKE KUCHUANA J'MOSI HII DAR LIVE
Warembo wanaowania shindano la kumsaka Miss Uni-College Temeke watachuana katika fainali zitakazofanyika Jumamosi ya Mei 17 mwaka huu katika Ukumbi wa Kisasa wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. Mshindi wa shindano hilo atajizolea zawadi kibao ikiwemo fedha taslimu shilingi 300,000/= na shopping ya nguvu yenye thamani ya shilingi 250,000/= kutoka duka la Robby One… ...
11 years ago
GPLMISS UNI-COLLEGE TEMEKE WATEMBELEA GLOBAL, KUCHUANA JUMAMOSI HII DAR LIVE
Warembo wanaowania taji la Miss Uni-College Temeke wakiwa na magazeti ya Global Publishers. Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota (kulia) akifafanua jambo kwa warembo hao.…
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-KvYuXOPX8Nw/U3Us5RF4NYI/AAAAAAAFh_Y/cOhloDMZbQA/s72-c/unnamed+(100).jpg)
Miss Uni College Temeke Jumamosi Dar Live, Snura kuliteka jukwaa
Msanii wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini, Snura Mushi “Mamaa Majanga” atapamba mashindano ya Miss Uni-College Temeke 2014 yaliyopangwa kufanyika kwenye ukumbi wa Dar Live Mbagala Jumamosi.
Mbali ya Snura ambaye atafanya shoo kwa kutumbuiza nyimbo zake zote kwa mara ya kwanza, pia bingwa wa masindano ya Tikisa dance 2012 Hassan Jigoro naye atapamba mashindano hayo yatakayoshirikisha juma ya warembo 12 kutoka vyuo mbali mbali vya elimu ya juu vilivyomo manispaa ya Temeke.
Warembo hao ni...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0004.jpg)
NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...
10 years ago
GPLCHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE
Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa Dar Live. Bella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dY1noMbzWX1jTw-lAlFGXbzh8A-UZKmPJY-qTGf0qUvNWFCTzn-U9Vg1vFV2jZHFq1wfqhFUgS2BTEUaSi9N8za/leo.jpg?width=650)
VALENTINE'S DAY: HAPATOSHI DAR LIVE LEO
Mfalme wa miondoko ya taarabu Bongo, Mzee Yusuf leo atakuwa ndani ya Dar Live kuwapa raha wapendanao. WAPENDANAO KUJIACHIA NA MZEE YUSUF HAKUNA haja ya kuhangaika leo katika sikukuu ya wapendanao, kiwanja ni kimoja tu, Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar. Mfalme wa miondoko ya taarabu Bongo, Mzee Yusuf atashusha shoo maalum kwa wapendanao katika ukumbi huo, hivyo burudani itachukua mkondo wake pamoja
na zawadi kibao...
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-9y-U8eb2ju4/Uyqs_qPhr3I/AAAAAAAFVFM/HA6Yd13HqRw/s1600/IMG_0414.jpg)
MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA YAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR
Aliyekuwa meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria kimaro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd,s Miss Tanzania 2014 kulia ni mkurugenzi wa kampuni ya LINO International Agency Hashim Lundenga ambao ni waandaaji wa mashindano hayo na kushoto ni Meneja mpya wa kinywaji cha Redd's Original Vimal Vaghmaria.  Mkurugenzi wa kampuni ya LINO...
10 years ago
GPLAIRTEL KUZINDUA AIRTEL UNI 255 J-MOSI MAALUM KWA VYUO VIKUU DAR ES SALAAM
Afisa Masoko wa Airtel Henrick Bruno akionyesha moja kati ya vocha za Airtel UNI255 maalum kwa vyuo vikuu nchini tayari kwa uzinduzi jumamosi hii. Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imebainisha kuwa mwishoni mwa wiki hii itazindua rasmi huduma mpya maalum kwaajili ya kutoa huduma nafuu za mawasiliano kwa wanafunzi walioko vyuoni katika chuo kikuu cha Dar es salaam UDSM ambapo hafla ya uzinduzi wa huduma hiyo inayojulikana...
9 years ago
GPL14 Sep
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania