SNURA AWASHUKURU WALIOMTOA

Snura Mushi. Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii mwanadada Snura mushi alimua kufunguka yafuatao kwa mdada Wema Sepetu, Tundaman, Chekibudi na Marehemu Sharo Milionea kwa jinsi walivumsaidia kufika hapo alipo leo. Snura alisema yafuatayo… Kwa Wema Sepetu Msema kweli mpenzi wa mungu wakati narecod wimbo wangu wa kwanza wema alihusika sana...hela yake ilihusika studio, sauti yake ilihusika kwenye wimbo huo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Lilian awashukuru Watanzania
NA MWANDISHI WETU
MREMBO aliyeiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya urembo ya dunia yaliyofanyika juzi Sanya nchini China, Lilian Kamazima, amewashukuru Watanzania kwa kumuunga mkono toka alipoanza safari yake ya urembo hapa nyumbani hadi kuingia kwenye kumi bora ya warembo wa dunia wenye mchango kwa jamii.
Akitoa shukrani zake, Lilian alisema licha ya kuwa mpweke ila sapoti ya Watanzania hasa kwenye mitandao ya kijamii katika upigaji kura ulimfanya ajihisi yupo nyumbani na kuna watu...
10 years ago
GPLDIAMOND AWASHUKURU WATANZANIA
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Mtitu awashukuru wadau wa filamu
MKURUGENZI wa kampuni ya 5 Effects Movies Ltd, William Mtitu, amewashukuru wadau wa filamu kutokana na kitendo chao cha kuwa beba kwa beka katika msiba wa baba yake mzazi, Mzee...
10 years ago
Tanzania Daima15 Nov
Bayi awashukuru majirani Mkuza
MKURUGENZI wa Shule za Filbert Bayi, Anna Bayi, amewashukuru wakazi wa Kwamatiasi, Mkuza Kibaha mkoani Pwani kwa msaada wao mkubwa walioutoa wakati wa tukio la kuungua moto kwa shule ya...
10 years ago
GPL
MJANE WA GURUMO AWASHUKURU NSSF
10 years ago
VijimamboHAPPINESS WATIMANYWA AWASHUKURU WATANZANIA
11 years ago
Habarileo29 Aug
Rais Burundi awashukuru Watanzania
RAIS wa Burundi, Pierre Nkurunzinza, amewashukuru Watanzania wote kwa mchango wao mkubwa katika kuleta amani na utulivu katika nchi hiyo, akisisitiza kuwa hakuna nchi nyingine duniani imechangia amani kwa Burundi kama Tanzania.
9 years ago
Mtanzania17 Dec
Vanessa awashukuru mashabiki wa Instagram
NA MWANDISHI WETU
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Vanessa Mdee, amewashukuru mashabiki wa mtandao wa Instagram kwa kumuunga mkono na kufanya afikishe wafuasi milioni moja.
Venessa anaungana na wakali kama Diamond Platnumz, Millard Ayo, Jokate Mwegelo, Jackline Wolper na Wema Sepetu ambao ni watu maarufu wachache wenye wafuasi wengi kwenye mtandao huo.
Akiwashukuru mashabiki wake, Vanessa alisema moja ya mtaji mkubwa kwenye biashara ya muziki ni watu hivyo idadi hiyo kubwa ya wafuasi...
10 years ago
BBCSwahili09 Jul
Kocha;Taifa Stars awashukuru watanzania