Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAPPINESS WATIMANYWA AWASHUKURU WATANZANIA

Na Hans MloliALIYEKUWA mshiriki wa Miss World 2014 kutoka Tanzania, Happiness Watimanywa, amerudisha fadhila kwa Watanzania.Pamoja ya kwamba Happiness hakubahatika kuwemo kwenye 10 bora ya washiriki waliokuwa kwenye kinyang’anyiro hicho ambapo taji lilikwenda kwa Rolene Strauss wa Afrika Kusini, lakini alibahatika kushika namba mbili kwenye kipengele cha People’s Choice Awards kati ya washiriki 121 waliokuwa wakishiriki na namba moja ikatua kwa mshiriki wa Thailand, Maeya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WATIMANYWA AWASHUKURU WATANZANIA KWA KURA

Miss Tanzania 2013/14, Happiness Watimanywa akiwashukuru watanzabia kupitia kikao chake na waandishi wa Habari kilichofanyika mapema leo katika Ukumbi wa Habari Maelezo Posta jijini Dar es Salaam. Miss namba mbili 2014/15 Jihan Dimack (kushoto), akiwa na Happiness Watimanywa wakati alipokuwa akiwashukuru Watanzania kwa kumpigia kura katika Ukumbi wa Habari Maelezo Posta jijini Dar es Salaam.… ...

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA TUMPE SUPPORT MISS TANZANIA HAPPINESS WATIMANYWA KWENYE SHINDANO LA MISS WORLD 2014‏‎


    Happiness Watimanywa (20) aliyekuwa Redds Miss Tanzania 2013 sasa yuko jijini London Uingereza kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World 2014. Happiness ambaye kwa sasa anashikilia taji la Miss World Tanzania 2014 amesema ana kila sababu ya kurudisha taji nyumbani ikiwa watanzania watamuunga mkono kwa kusambaza video zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii."Hebu angalia uzuri wa taifa letu, amani, upendo na vivutio mbalimbali vya utalii. Hebu niangalie na mimi...

 

10 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Watanzania tumpe support Miss Tanzania Happiness Watimanywa kwenye shindano la Miss World 2014‏‎

MISS TANZANIA 2014

 Happiness Watimanywa (20) aliyekuwa Redds Miss Tanzania 2013 sasa yuko jijini London Uingereza kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World 2014.

Happiness ambaye kwa sasa anashikilia taji la Miss World Tanzania 2014 amesema ana kila sababu ya kurudisha taji nyumbani ikiwa watanzania watamuunga mkono kwa kusambaza video zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

“Hebu angalia uzuri wa taifa letu, amani, upendo na vivutio mbalimbali vya utalii. Hebu niangalie na mimi...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Mtazame Happiness Watimanywa akifafanua jinsi ya kumpigia kura

Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ambaye kwa sasa yupo kwenye kinyang’anyiro cha Miss World nchini Uingereza, amewatumia ujumbe Watanzania jinsi anavyoendelea na mashindapo pamoja njia za kumfanya aibuke kidedea na taji hilo. Pia ameaitumia ujumbe Bongo5 akisema: Asanteni sana kwa wote mnaoendelea kuniunga mkono. Hadi sasa tunafanya vizuri Miss World. Tunaweza kufanya vizuri zaidi.”

 

10 years ago

Bongo5

Miss World 2014: Tazama utambulisho wa Happiness Watimanywa (Video)

Mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Miss World 2014, Happiness Watimanywa amewasili jijini London, Uingereza kwaajili ya shindano hilo. “Ndugu zangu Watanzania, I am safe in London for Miss World 2014. I am immensely honoured to represent my country Tanzania,” amesema Happy. Miss World 2014, ambalo ni shindano la 64, litafanyika December 14 jijini London. […]

 

9 years ago

Mtanzania

Lilian awashukuru Watanzania

lilian_kamazimaNA MWANDISHI WETU

MREMBO aliyeiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya urembo ya dunia yaliyofanyika juzi Sanya nchini China, Lilian Kamazima, amewashukuru Watanzania kwa kumuunga mkono toka alipoanza safari yake ya urembo hapa nyumbani hadi kuingia kwenye kumi bora ya warembo wa dunia wenye mchango kwa jamii.

Akitoa shukrani zake, Lilian alisema licha ya kuwa mpweke ila sapoti ya Watanzania hasa kwenye mitandao ya kijamii katika upigaji kura ulimfanya ajihisi yupo nyumbani na kuna watu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani