Miss World 2014: Tazama utambulisho wa Happiness Watimanywa (Video)
Mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Miss World 2014, Happiness Watimanywa amewasili jijini London, Uingereza kwaajili ya shindano hilo. “Ndugu zangu Watanzania, I am safe in London for Miss World 2014. I am immensely honoured to represent my country Tanzania,” amesema Happy. Miss World 2014, ambalo ni shindano la 64, litafanyika December 14 jijini London. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
10 years ago
Dewji Blog26 Nov
VIDEO: Watanzania tumpe support Miss Tanzania Happiness Watimanywa kwenye shindano la Miss World 2014â€â€Ž
Happiness Watimanywa (20) aliyekuwa Redds Miss Tanzania 2013 sasa yuko jijini London Uingereza kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World 2014.
Happiness ambaye kwa sasa anashikilia taji la Miss World Tanzania 2014 amesema ana kila sababu ya kurudisha taji nyumbani ikiwa watanzania watamuunga mkono kwa kusambaza video zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
“Hebu angalia uzuri wa taifa letu, amani, upendo na vivutio mbalimbali vya utalii. Hebu niangalie na mimi...
10 years ago
MichuziWATANZANIA TUMPE SUPPORT MISS TANZANIA HAPPINESS WATIMANYWA KWENYE SHINDANO LA MISS WORLD 2014â€â€Ž
Happiness Watimanywa (20) aliyekuwa Redds Miss Tanzania 2013 sasa yuko jijini London Uingereza kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World 2014. Happiness ambaye kwa sasa anashikilia taji la Miss World Tanzania 2014 amesema ana kila sababu ya kurudisha taji nyumbani ikiwa watanzania watamuunga mkono kwa kusambaza video zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii."Hebu angalia uzuri wa taifa letu, amani, upendo na vivutio mbalimbali vya utalii. Hebu niangalie na mimi...
10 years ago
Dewji Blog14 Dec
10 years ago
MichuziMiss Tanzania 2013 Happiness Watimanya at the Miss World in London
10 years ago
Bongo513 Nov
Kamati ya Miss Tz yadaiwa kushindwa kukamilisha mahitaji ya Happiness kwenda Miss World
10 years ago
Bongo508 Dec
Video: Mtazame Happiness Watimanywa akifafanua jinsi ya kumpigia kura
10 years ago
TheCitizen21 Nov
Happiness: Miss World here I come