Vanessa awashukuru mashabiki wa Instagram
NA MWANDISHI WETU
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Vanessa Mdee, amewashukuru mashabiki wa mtandao wa Instagram kwa kumuunga mkono na kufanya afikishe wafuasi milioni moja.
Venessa anaungana na wakali kama Diamond Platnumz, Millard Ayo, Jokate Mwegelo, Jackline Wolper na Wema Sepetu ambao ni watu maarufu wachache wenye wafuasi wengi kwenye mtandao huo.
Akiwashukuru mashabiki wake, Vanessa alisema moja ya mtaji mkubwa kwenye biashara ya muziki ni watu hivyo idadi hiyo kubwa ya wafuasi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Diamond awashukuru mashabiki, ataka wahamie MTV
MSHINDI wa tuzo saba za Muziki za Kilimanjaro (KTMA 2014), Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz,’ amewashukuru wadau na mashabiki wa sanaa nchini waliomwezesha kuibuka na ushindi huo uliovunja rekodi huku akiwataka...
11 years ago
Bongo530 Jul
Lady Jaydee awashukuru mashabiki baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA, Marekani
10 years ago
CloudsFM16 Jan
ALI KIBA AWASHUKURU MASHABIKI WAKE KWA KUISAPOTI MWANA DSM
Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba amewashukuru mashabiki wake kwa kusapoti ngoma zake ikiwemo Mwana Dsm ambayo aliitoa mwaka jana lakini kutoka na sapoti kubwa ya mashabiki hadi leo inafanya vyema kwenye vituo mbalimbali vya redio na tv.
11 years ago
GPL
LADY JAY DEE AWASHUKURU MASHABIKI BAADA YA KUPOKEA TUZO YA AFRIMMA
9 years ago
Bongo518 Dec
Vanessa Mdee na Jacqueline Wolper nao wafikisha followers milioni moja Instagram

Vanessa Mdee na Jacqueline Wolper wana kila sababu ya kuwashukuru mashabiki wao kwa kuwawezesha kufikisha wafuasi milioni moja kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.
Hadi sasa Vanessa ana followers 1,011,699 huku Wolper akiwa na followers 1,030,784.
“Mashabiki ni mtaji, wasanii tunafanya kazi kwa ajili ya watu ndiyo maana nimefurahi kufikisha idadi hii ya mshabiki milioni moja kwenye Instagram, ni ishara nzuri kuwa kazi zangu zinakubalika,” alisema Vanessa.
Vee Money na Jacqueline...
10 years ago
Bongo510 Sep
Video: Rapper mkongwe wa Marekani, LL Cool J awashukuru mashabiki wa Afrika Mashariki kwa Kiswahili
11 years ago
Michuzi06 May
10 years ago
GPL
DIAMOND AFIKISHA MASHABIKI MIL. 1 INSTAGRAM
10 years ago
Bongo514 Sep
Muimbaji wa Longombas, Christian awashukuru mashabiki wake baada ya kuondolewa uvimbe kwenye ubongo na kupona