Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Rapper mkongwe wa Marekani, LL Cool J awashukuru mashabiki wa Afrika Mashariki kwa Kiswahili

Rapper na muigizaji mkongwe wa Marekani, James Todd Smith akifahamika zaidi kwa jina la LL Cool J ameamua kuwa-surprise mashabiki wa Afrika mashariki kwa kuwashukuru kwa kisichojulikana, lakini kilichovuta ‘attention’ zaidi ni lugha aliyotumia, amewashukuru kwa Kiswahili. Rapper huyo amepost video Instagram akisema “Kwa fans wangu wa Afrika Mashariki asante sana”, na kumaliza kwa kicheko. […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Lady Jaydee awashukuru mashabiki baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA, Marekani

Lady Jaydee na Diamond July 27 walitangazwa kuwa washindi katika tuzo za AFRIMMA 2014 nchini Marekani. Diamond alishinda kipengele cha mwanamuziki bora wa kiume Afrika mashariki, huku Lady Jaydee alishinda kipengele cha mwanamuziki bora wa kike Afrika mashariki. Tuzo hizo ziliwashindanisha wanamuziki mbalimbali wakubwa wa Afrika wakiwemo Davido, Mafikizolo, Tiwa Savage, Fally Ipupa, Flavour na […]

 

11 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA IRINGA WAZINDUA TAWI LA WANAFUNZI WANAOSOMA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI, WATAKA KATIBA MPYA KISWAHILI KIPEWE NAFASI

Mlezi wa chama  cha Chawakama na mwalimu wa kiswahili chuo kikuu cha Iringa Tulla Tweve  akitambulisha  wageni Mmoja kati ya  viongozi akieleza malengo ya Chawakama Mwalimu Chalamila akieleza  maana ya lugha ya kiswahili Mwalimu wa kiswahili  chuo cha Iringa ambae ni msanii wa wimbo wa Mufindi yetu  akiburudisha Wanachama  wakicheza  na msanii  huyo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa Kiswahili Afrika Mashariki

Katika makala iliyotangulia nilieleza juu ya juhudi za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zilivyojitahidi kuendeleza lugha ya Kiswahili, ili iwe na taswira ya utangamano kwa wananchi wa nchi hizi.

 

10 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa kuunganisha Kiswahili Afrika Mashariki

Katika taarifa ya utafiti uliochapishwa hivi karibuni imeelezwa kuwa Watanzania wengi wanataka kuunganishwa katika shughuli mbalimbali za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

 

5 years ago

BBCSwahili

Nguvu ya lugha ya Kiswahili nje ya mipaka ya Afrika Mashariki

Kiswahili ni lugha pekee ya Afrika ambayo imetambuliwa rasmi na Umoja wa Afrika, ambayo pia inaonesha kuendelea kupata umaarufu.

 

9 years ago

StarTV

Matumizi Ya Kiswahili ZINDUKA yataka kitumike kwenye mijadala Afrika Mashariki

 

Jumuiko la makundi mbalimbali ya kijamii kutoka nchi za Afrika Mashariki kupitia umoja wao unaojulikana kama “ZINDUKA”,limekuja na mapendekezo ya kutaka matumizi rasmi ya lugha ya Kiswahili, katika mijadala na mikutano yote ya jumuiya ya Afrika mashariki.

Katika uwasilishwaji wa mapendekezo kutoka katika kusanyiko hilo la “ZINDUKA” lililokuwa likifanyika Jijini Arusha, ni kwamba Kiswahili hakijapewa uzito unaostahili ndani ya Afrika Mashariki.

Mmoja wa wasilishaji wa mapendekezo hayo...

 

10 years ago

CloudsFM

ALI KIBA AWASHUKURU MASHABIKI WAKE KWA KUISAPOTI MWANA DSM

Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba amewashukuru mashabiki wake kwa kusapoti ngoma zake ikiwemo Mwana Dsm ambayo aliitoa mwaka jana lakini kutoka na sapoti kubwa ya mashabiki hadi leo inafanya vyema kwenye vituo mbalimbali vya redio na tv.

Ali Kiba amewashukuru mashabiki wake kupitia mtandao wa Instagram na kuandikia hivi… Shout outs na shukurani nyingi sana kwa support yenu- kurequest nyimbo zangu kwenye redio na TV na comments zenu on social media zangu. Nawaona wote sema siwezi kuwajibu moja...

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe, Liberata Mulamula aanda chakula cha jioni kwa baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao kwa ukanda wa Afrika Mashariki nyumbani kwake Bethesda ,Maryland tarehe 11/02/2015

 
Balozi wa Ethiopia nchini Marekani na mwenyekiti wa mabalozi wa kanda ya Afrika Mashariki Mhe, Girma Birru akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi, Mhe Liberata Mulamula.


Balozi wa Uganda nchini Marekani Oliver Wonekha ambaye ni mmoja  wa mabalozi kutoka kanda ya Afrika Mashariki akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi. Mhe  Liberata Mulamula.


 Balozi wa  Burundi nchini Marekani Mhe, Ernest Ndabashinze akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi Mhe, Liberata Mulamula.


 Balozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani