Muimbaji wa Longombas, Christian awashukuru mashabiki wake baada ya kuondolewa uvimbe kwenye ubongo na kupona
Mwimbaji wa kundi la Longombas la nchini Kenya, Christian Longomba amewashukuru mashabiki wake waliokuwa wakim-support kwa maombi kipindi chote cha upasuaji wa kuondolewa uvimbe uliokuwa kichwani July mwaka huu. Baada ya upasuaji wa pili kwenda vizuri na kufanikiwa kuondolewa uvimbe huo kwenye ubongo, amesema kuwa hivi sasa hali yake ni nzuri. Mwimbaji huyo hakusahau kuwashukuru […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
LADY JAY DEE AWASHUKURU MASHABIKI BAADA YA KUPOKEA TUZO YA AFRIMMA
11 years ago
Bongo530 Jul
Lady Jaydee awashukuru mashabiki baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA, Marekani
10 years ago
CloudsFM16 Jan
ALI KIBA AWASHUKURU MASHABIKI WAKE KWA KUISAPOTI MWANA DSM
Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba amewashukuru mashabiki wake kwa kusapoti ngoma zake ikiwemo Mwana Dsm ambayo aliitoa mwaka jana lakini kutoka na sapoti kubwa ya mashabiki hadi leo inafanya vyema kwenye vituo mbalimbali vya redio na tv.
11 years ago
Michuzi06 May
11 years ago
Bongo501 Oct
Evance Bukuku wa Vuvuzela aeleza sababu za kumchukua mdogo wake muimbaji Enika kwenye comedy
9 years ago
StarTV11 Nov
Mzee Juma Isangu aomba Serikali kumsaidia baada ya kuondolewa kwenye eneo lake
Serikali imeombwa kuingilia kati sakata la familia ya Mzee Juma Isangu mkazi wa Duluti wilayani Arumeru mkoani Arusha baada ya kuondolewa kwa amri ya mahakama katika eneo walilokuwa wakiishi kwa zaidi ya miaka thelathini.
Wamedai kwamba haki haikutendeka.
Familia hiyo ambayo hadi hivi sasa imekosa mahali pa kuishi, inamshutumu mtoto wa aliyekuwa mmiliki wa kwanza wa eneo hilo kwa madai ya kughushi nyaraka za uhalali wake wakati familia hiyo ikiwa na vielelezo vya mahala hapo.
Kwa mujibu wa...
9 years ago
Bongo503 Dec
Nahreel asema hakufurahishwa na kitendo cha kuondolewa kwa utambulisho wake kwenye wimbo wa ‘Nana’

Kuna baadhi ya watu huenda hawafahamu kuwa mdundo wa ‘Nana’ wa Diamond Platnumz ni zao la producer Nahreel wa The Industry, na hii ni kutokana kwamba haina ule utambulisho wa kazi zake ‘Nahreel on the beat’ ambao husikika kwenye kazi zote alizotayarisha.
Nahreel amesema kuwa kiashirio cha producer kwenye wimbo huo kiliondolewa kwa sababu ambazo hakuona kama zina uzito.
“Sababu walizosema walisema tu stori ilivyoanza pale mbele ile slogan yangu ingeleta hitilafu lakini it doesn’t make sense,...
9 years ago
Mtanzania17 Dec
Vanessa awashukuru mashabiki wa Instagram
NA MWANDISHI WETU
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Vanessa Mdee, amewashukuru mashabiki wa mtandao wa Instagram kwa kumuunga mkono na kufanya afikishe wafuasi milioni moja.
Venessa anaungana na wakali kama Diamond Platnumz, Millard Ayo, Jokate Mwegelo, Jackline Wolper na Wema Sepetu ambao ni watu maarufu wachache wenye wafuasi wengi kwenye mtandao huo.
Akiwashukuru mashabiki wake, Vanessa alisema moja ya mtaji mkubwa kwenye biashara ya muziki ni watu hivyo idadi hiyo kubwa ya wafuasi...
10 years ago
Bongo524 Jun
Alikiba azunguka kwenye daladala Dar kukutana na mashabiki wake (Picha)