Vanessa Mdee na Jacqueline Wolper nao wafikisha followers milioni moja Instagram
Vanessa Mdee na Jacqueline Wolper wana kila sababu ya kuwashukuru mashabiki wao kwa kuwawezesha kufikisha wafuasi milioni moja kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.
Hadi sasa Vanessa ana followers 1,011,699 huku Wolper akiwa na followers 1,030,784.
“Mashabiki ni mtaji, wasanii tunafanya kazi kwa ajili ya watu ndiyo maana nimefurahi kufikisha idadi hii ya mshabiki milioni moja kwenye Instagram, ni ishara nzuri kuwa kazi zangu zinakubalika,” alisema Vanessa.
Vee Money na Jacqueline...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Hii ndio idadi ya followers wa Vanessa Mdee Instagram… kawagusa Diamond & Wema Sepetu!
Najua nina watu wangu ambao ni mashabiki wakubwa wa staa kutoka bongo flevani, Vanessa Mdee a.k.a Vee Money. Najua pia mmekuwa mkimfuatilia Vanessa kwenye matukio yake mengi na kwa ajili ya upendo wenu mmeamua pia kuwa karibu naye kwenye Instagram ili chochote atakachokifanya kisikupite. Ukitembelea Instagram page ya Vee Money @VanessaMdee sasa hivi utakutana na […]
The post Hii ndio idadi ya followers wa Vanessa Mdee Instagram… kawagusa Diamond & Wema Sepetu! appeared first on...
9 years ago
Bongo507 Dec
Jokate awa Mtanzania wa nne kufikisha followers milioni 1 Instagram
![kidoti2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/kidoti2-300x194.jpg)
Jokate Mwegelo ameongezeka kwenye orodha ya mastaa wa Tanzania waliofikisha followers zaidi ya million moja kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.
Baaada ya Diamond Platnumz, Wema Sepetu na Millard Ayo sasa Jokate anakuwa Mtanzania wa nne kufikisha followers milioni 1.
Kupitia Instagram yake Jokate ameandika;
“Gmooorning. Kisses to all my ONE million followers on Instagram. Mabuthu buthu tele kwenu nyote kwa kufikia millioni mmoja kwenye page yangu. Usengwile. . #Kidoti”
Jiunge na...
9 years ago
Bongo524 Nov
Millard Ayo awa Mtanzania wa tatu kufikisha followers milioni 1 Instagram
![Millard-Ayo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Millard-Ayo-300x194.jpg)
Mtangazaji wa nguvu Millard Ayo kutoka Clouds Fm, amekuwa Mtanzania wa tatu kufikisha followers milioni moja kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram. Hadi leo amefikisha 1,007,912.
Host huyo wa kipindi maarufu cha Amplifaya amekuwa wa tatu kufikisha idadi hiyo baada ya Wema Sepetu, ambaye alifikisha idadi hiyo mwezi huu wa Novemba. Mpaka sasa Wema amefikisha 1,077,859. Mtanzania wa kwanza kufikisha idadi hiyo alikuwa Diamond Platnumz ambaye kwa sasa ana 1,311,940.
Mastaa wengine ambao...
9 years ago
Bongo504 Nov
Wema Sepetu awa Mtanzania wa pili kufikisha followers milioni 1 kwenye Instagram
![11385131_915960011829242_1002926144_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11385131_915960011829242_1002926144_n-300x194.jpg)
Wema Sepetu amekuwa mtanzania wa pili kufikisha followers milioni moja kwenye mtandao wa Instagram.
Mrembo huyo anachukua nafasi hiyo baada ya ex wake, Diamond Platnumz kufikisha idadi hiyo wiki kadhaa zilizopita. Hata hivyo tofauti yao ni kuwa account ya Diamond iko verified.
Hatua hiyo imekuja siku mbili tu baada ya Wema kuangusha birthday party iliyohudhuriwa na mastaa wote wa orodha A nchini. Pia alizindua brand zake za vipodozi zikiwemo lipstick za Kiss by Wema Sepetu.
Mastaa wengine...
10 years ago
Bongo519 Dec
Instagram yafuta 18% ya akaunti feki, Justin Bieber, Kim Kardashian wapoteza followers zaidi ya milioni 4
11 years ago
Bongo501 Aug
Vanessa Mdee kushare jukwaa moja na Jose Chameleone leo
9 years ago
Bongo516 Oct
Video ya ‘Never Ever’ yamgharimu Vanessa Mdee zaidi ya shilingi milioni 40
10 years ago
Bongo505 Feb
Vanessa Mdee na Davido washirikishwa kwenye ngoma moja ya msanii wa Ghana, D-Black
10 years ago
Bongo518 Mar
Vanessa Mdee kutumbuiza jukwaa moja na Awilo, Iyanya, Burna Boy, Nigeria mwezi ujao