Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Instagram yafuta 18% ya akaunti feki, Justin Bieber, Kim Kardashian wapoteza followers zaidi ya milioni 4

Mtandao wa Instagram wiki hii umewapa majonzi baadhi ya watumiaji wake baada ya kufanya operation ya kufuta akaunti feki (spammy accounts ) na hivyo kuathiri namba ya followers kwa watu wengi. Asilimia 18.9 ya akaunti (fake) za Instagram zimefutwa kuanzia Jumatano hadi Alhamisi. “We’ve been deactivating spammy accounts from Instagram on an ongoing basis to […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kim Kardashian ampiku Beyonce kama staa mwenye followers wengi Instagram

Beyonce amenyang’anywa rasmi taji la staa mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram. Kim Kardashian sasa amekuwa staa mwenye wafuasi wengi zaidi kwenye mtandao huo. Staa huyo wa Keeping Up With the Kardashians na mke wa Kanye West ana followers milioni 44.1 huku Beyonce akiwa nao milioni 44. Kim anaweza kuwa amemzidi Beyonce kwasababu […]

 

9 years ago

Bongo5

Tetesi: Justin Bieber na dada yake Kim Kardashian mwenye watoto watatu ni wapenzi?

justin-kourtney-435

Huenda Justin Bieber akawa amechoka kuwa na uhusiano na wasichana wenye umri sawa na wake na sasa anataka kulelewa.

justin-kourtney-435

Kuna tetesi kuwa Justin Bieber na dada yake Kim Kardashian, Kourtney ni wapenzi. Kourtney ana watoto watatu aliozaa na Scott Dissick.

Bieber, 21 na Kourtney, 36, wameonekana kuwa karibu kuliko kawaida siku za hivi karibuni.

Bieber alizikuza zaidi tetesi hizo baada ya kuweka picha hiyo chini na kuandika, “Lord knows” na wengi kutafsiri kama ni diss kwa Dissick ambaye hujiita...

 

9 years ago

Bongo5

Justin Bieber: Natumia Instagram kuangalia picha za warembo!

Justin Bieber amekiri kuwa hutumia mtandao wa Instagram kuangalia picha za wasichana warembo. Amesema badala ya kuangalia picha za washkaji zake, mara nyingi huingia kwenye Instagram kuangalia mapaja, boobs na sura za wasichana wanaovutia. Akiongea na kituo cha redio cha New York, Z100 Bieber alisema: Instagram is about dudes looking at pretty girls, that’s basically […]

 

9 years ago

Bongo5

Jokate awa Mtanzania wa nne kufikisha followers milioni 1 Instagram

kidoti2

Jokate Mwegelo ameongezeka kwenye orodha ya mastaa wa Tanzania waliofikisha followers zaidi ya million moja kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.

kidoti

Baaada ya Diamond Platnumz, Wema Sepetu na Millard Ayo sasa Jokate anakuwa Mtanzania wa nne kufikisha followers milioni 1.

Jokate insta

Kupitia Instagram yake Jokate ameandika;

“Gmooorning. Kisses to all my ONE million followers on Instagram. Mabuthu buthu tele kwenu nyote kwa kufikia millioni mmoja kwenye page yangu. Usengwile. . #Kidoti”

Jiunge na...

 

9 years ago

Bongo5

Millard Ayo awa Mtanzania wa tatu kufikisha followers milioni 1 Instagram

Millard-Ayo

Mtangazaji wa nguvu Millard Ayo kutoka Clouds Fm, amekuwa Mtanzania wa tatu kufikisha followers milioni moja kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram. Hadi leo amefikisha 1,007,912.

Millard-Ayo

Host huyo wa kipindi maarufu cha Amplifaya amekuwa wa tatu kufikisha idadi hiyo baada ya Wema Sepetu, ambaye alifikisha idadi hiyo mwezi huu wa Novemba. Mpaka sasa Wema amefikisha 1,077,859. Mtanzania wa kwanza kufikisha idadi hiyo alikuwa Diamond Platnumz ambaye kwa sasa ana 1,311,940.

ayo insta

Mastaa wengine ambao...

 

9 years ago

Bongo5

Wema Sepetu awa Mtanzania wa pili kufikisha followers milioni 1 kwenye Instagram

11385131_915960011829242_1002926144_n

Wema Sepetu amekuwa mtanzania wa pili kufikisha followers milioni moja kwenye mtandao wa Instagram.

11385131_915960011829242_1002926144_n

Mrembo huyo anachukua nafasi hiyo baada ya ex wake, Diamond Platnumz kufikisha idadi hiyo wiki kadhaa zilizopita. Hata hivyo tofauti yao ni kuwa account ya Diamond iko verified.

Hatua hiyo imekuja siku mbili tu baada ya Wema kuangusha birthday party iliyohudhuriwa na mastaa wote wa orodha A nchini. Pia alizindua brand zake za vipodozi zikiwemo lipstick za Kiss by Wema Sepetu.

Mastaa wengine...

 

9 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee na Jacqueline Wolper nao wafikisha followers milioni moja Instagram

wolvee

Vanessa Mdee na Jacqueline Wolper wana kila sababu ya kuwashukuru mashabiki wao kwa kuwawezesha kufikisha wafuasi milioni moja kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.

wolvee

Hadi sasa Vanessa ana followers 1,011,699 huku Wolper akiwa na followers 1,030,784.

“Mashabiki ni mtaji, wasanii tunafanya kazi kwa ajili ya watu ndiyo maana nimefurahi kufikisha idadi hii ya mshabiki milioni moja kwenye Instagram, ni ishara nzuri kuwa kazi zangu zinakubalika,” alisema Vanessa.

vee n wolper insta

Vee Money na Jacqueline...

 

9 years ago

Bongo5

Diamond aongoza orodha ya mastaa wanaoishi Afrika wenye followers wengi zaidi Instagram

1663203_863176703798731_1287169950_n

Diamond Platnumz si tu msanii aliyechukua tuzo kubwa zaidi kuliko wasanii wote wa Afrika mwaka huu (MTV EMA – Best Worldwide Act: Africa/India), bali pia ndiye msanii anayeishi barani Afrika mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram kwa sasa.

1663203_863176703798731_1287169950_n

Awali nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na msanii wa Nigeria, Davido.

Hata hivyo orodha ya mastaa waliofikisha followers milioni moja imeongozwa na watanzania.

Hii ni orodha kamili kwa mujibu wa namba za December, 29.

1. Diamond...

 

11 years ago

CloudsFM

KIM KARDASHIAN APOST PICHA ZAKE ZA HARUSI NA KANYE WEST KWA MARA YA KWANZA KWENYE INSTAGRAM

Kim Kardashian na Kanye West wakiwa wameshikana mikono baada ya kufunga ndoa mwishoni mwa wiki iliyopita huko Forte di Belvedere Florence, Italia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani