Vanessa Mdee kushare jukwaa moja na Jose Chameleone leo
Muimbaji wa ‘Come Over’, Vanessa Mdee leo atapanda kwenye jukwaa moja na hitmaker wa Uganda, Jose Chameleone kwenye show ya ‘Tubonge Tour’ itakayofanyika New Maisha Club. Vee Money ni msanii pekee kutoka Tanzania aliyechukuliwa kumsindikiza Chameleone.
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo518 Mar
Vanessa Mdee kutumbuiza jukwaa moja na Awilo, Iyanya, Burna Boy, Nigeria mwezi ujao
9 years ago
Bongo530 Sep
Vanessa Mdee kutumbuiza jukwaa moja na mastaa wa Afrika akiwemo Wizkid, Davido, AKA, K.O kwenye tamasha la ‘AMC 2015′ Afrika Kusini
10 years ago
Bongo505 Nov
Video: Abba Marcus (mtoto wa Jose Chameleone) akipagawisha mashabiki kwa kulishambulia jukwaa na baba yake
10 years ago
Bongo505 Feb
Vanessa Mdee na Davido washirikishwa kwenye ngoma moja ya msanii wa Ghana, D-Black
9 years ago
Bongo518 Dec
Vanessa Mdee na Jacqueline Wolper nao wafikisha followers milioni moja Instagram
![wolvee](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/wolvee-300x194.jpg)
Vanessa Mdee na Jacqueline Wolper wana kila sababu ya kuwashukuru mashabiki wao kwa kuwawezesha kufikisha wafuasi milioni moja kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.
Hadi sasa Vanessa ana followers 1,011,699 huku Wolper akiwa na followers 1,030,784.
“Mashabiki ni mtaji, wasanii tunafanya kazi kwa ajili ya watu ndiyo maana nimefurahi kufikisha idadi hii ya mshabiki milioni moja kwenye Instagram, ni ishara nzuri kuwa kazi zangu zinakubalika,” alisema Vanessa.
Vee Money na Jacqueline...
9 years ago
Dewji Blog01 Nov
Jose Chameleone awapa surprise ya nguvu mashabiki wa Skylight Band, usikose leo kiota cha Escape One
Muimbaji kutoka nchiniUganda Jose Chameleone akiimba kwenye stage ya bendi ya Skylight mara baada ya kupanda kwenye stage hiyo na kuwaacha mashabiki awa bendi hiyo wakitoa shangwe ya nguvu. Njoo leo Skylight imekuandalia suprise za kutosha kutoka katika bendi hii.
Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone (katikati) akiimba kwa hisia moja ya nyimbo yake uku akisindikizwa na waimbaji wa bendi ya Skylight kushoto ni Suzy pamoja na Kasongo Junior (kulia).
Sony Masamba ambaye ni mmoja...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/si4YNX4O5f4/default.jpg)
9 years ago
Mtanzania18 Dec
Linah, Feza jukwaa moja na Davido Nigeria leo
NA MWANDISHI WETU
WANAMUZIKI nyota wa Bongo fleva nchini, Estelina Peter Sanga ‘Linah Sanga’ na Feza Kessy, leo watapanda jukwaa moja na nyota kibao wa Nigeria, katika tamasha kubwa la mwaka la muziki lijulikanalo kwa jina la Soundcity Urban Festival, litakalofanyika Lagos, Nigeria.
Tamasha hilo pia litawashirikisha wasanii wakali nchini humo kama vile Davido, Kiss Daniel, Iyanya na Olamide, huku wengine wakiwa Victoria Kimani, Runtown, Sound Sultan, Lil Kesh, Ycee, Sean Tizzle na...