Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond awashukuru mashabiki, ataka wahamie MTV

MSHINDI wa tuzo saba za Muziki za Kilimanjaro (KTMA 2014), Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz,’ amewashukuru wadau na mashabiki wa sanaa nchini waliomwezesha kuibuka na ushindi huo uliovunja rekodi huku akiwataka...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Vanessa awashukuru mashabiki wa Instagram

vanessaMdee_001_lrgNA MWANDISHI WETU

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Vanessa Mdee, amewashukuru mashabiki wa mtandao wa Instagram kwa kumuunga mkono na kufanya afikishe wafuasi milioni moja.

Venessa anaungana na wakali kama Diamond Platnumz, Millard Ayo, Jokate Mwegelo, Jackline Wolper na Wema Sepetu ambao ni watu maarufu wachache wenye wafuasi wengi kwenye mtandao huo.

Akiwashukuru mashabiki wake, Vanessa alisema moja ya mtaji mkubwa kwenye biashara ya muziki ni watu hivyo idadi hiyo kubwa ya wafuasi...

 

11 years ago

GPL

LADY JAY DEE AWASHUKURU MASHABIKI BAADA YA KUPOKEA TUZO YA AFRIMMA

Tuzo ya mwimbaji bora wa kike Afrika Mashariki, Lady Jay Dee. Mwimbaji bora wa kike Afrika Mashariki, Lady Jay Dee. Lady Jay Dee ameipokea tuzo ya AFRIMMA ya mwimbaji bora wa kike Afrika Mashariki siku mbili baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo hiyo. Baada ya kuishika mkononi tuzo…

 

10 years ago

CloudsFM

ALI KIBA AWASHUKURU MASHABIKI WAKE KWA KUISAPOTI MWANA DSM

Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba amewashukuru mashabiki wake kwa kusapoti ngoma zake ikiwemo Mwana Dsm ambayo aliitoa mwaka jana lakini kutoka na sapoti kubwa ya mashabiki hadi leo inafanya vyema kwenye vituo mbalimbali vya redio na tv.

Ali Kiba amewashukuru mashabiki wake kupitia mtandao wa Instagram na kuandikia hivi… Shout outs na shukurani nyingi sana kwa support yenu- kurequest nyimbo zangu kwenye redio na TV na comments zenu on social media zangu. Nawaona wote sema siwezi kuwajibu moja...

 

11 years ago

Bongo5

Lady Jaydee awashukuru mashabiki baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA, Marekani

Lady Jaydee na Diamond July 27 walitangazwa kuwa washindi katika tuzo za AFRIMMA 2014 nchini Marekani. Diamond alishinda kipengele cha mwanamuziki bora wa kiume Afrika mashariki, huku Lady Jaydee alishinda kipengele cha mwanamuziki bora wa kike Afrika mashariki. Tuzo hizo ziliwashindanisha wanamuziki mbalimbali wakubwa wa Afrika wakiwemo Davido, Mafikizolo, Tiwa Savage, Fally Ipupa, Flavour na […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Rapper mkongwe wa Marekani, LL Cool J awashukuru mashabiki wa Afrika Mashariki kwa Kiswahili

Rapper na muigizaji mkongwe wa Marekani, James Todd Smith akifahamika zaidi kwa jina la LL Cool J ameamua kuwa-surprise mashabiki wa Afrika mashariki kwa kuwashukuru kwa kisichojulikana, lakini kilichovuta ‘attention’ zaidi ni lugha aliyotumia, amewashukuru kwa Kiswahili. Rapper huyo amepost video Instagram akisema “Kwa fans wangu wa Afrika Mashariki asante sana”, na kumaliza kwa kicheko. […]

 

9 years ago

Bongo5

Muimbaji wa Longombas, Christian awashukuru mashabiki wake baada ya kuondolewa uvimbe kwenye ubongo na kupona

Mwimbaji wa kundi la Longombas la nchini Kenya, Christian Longomba amewashukuru mashabiki wake waliokuwa wakim-support kwa maombi kipindi chote cha upasuaji wa kuondolewa uvimbe uliokuwa kichwani July mwaka huu. Baada ya upasuaji wa pili kwenda vizuri na kufanikiwa kuondolewa uvimbe huo kwenye ubongo, amesema kuwa hivi sasa hali yake ni nzuri. Mwimbaji huyo hakusahau kuwashukuru […]

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AWASHUKURU WATANZANIA

Diamond akisikiliza masali kutoka kwa waandishi wa habari. … Akijibu maswali. …Bab Tale akiwakaribisha waandishi wa habari (hawapo pichani) muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano huo.…

 

9 years ago

Bongo5

Mashabiki wa Alikiba shingoni mwa MTV Base, waanzisha kampeni ya kuitaka icheze video zake

12362286_1753528134868355_448805419_n

MTV Base hawapumui sababu mashabiki wa Alikiba wapo shingoni mwao.

12362286_1753528134868355_448805419_n

Hilo limekuja baada ya tawi lake la Afrika Mashariki, MTV Base East kuanzisha shindano dogo kwenye Twitter (Face Off Tanzania) wakiwataka mashabiki kumtaja msanii aliyefanya vizuri Tanzania mwaka 2015 na kuwaweka Alikiba, Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz.

Watu zaidi ya 1500 walipiga kura na Alikiba alishinda mtanange huo kama inavyoonekana hapo chini.

#FaceOff Tanzania Who ruled 2015?

— MTV Base East (@MTVBaseEast)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani