Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music: Snura — Jidabue

Hii ni ngoma mpya kutoka kwa Mama wa Majanga Snura sasa ameachia wimbo unaitwa “Jidabue” Studio Chaidaz Records

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SNURA AMBWATUKIA SHILOLE

Na Brighton Masalu
MAMA wa majanga, Snura Antony Mushi kwa mara ya kwanza amejitokeza hadharani na kuzungumzia kauli ya  msanii mwenzake wa muziki wa mduara, Zuwena Yusuf Mohamed ‘Shilole’ juu yake kuwa ameisha kimuziki ndiyo maana ameamua kukimbilia muziki wa Taarab. Zuwena Yusuf Mohamed ‘Shilole. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Snura ambaye anawika mitaani kwa ngoma kali kama Majanga na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Matapeli Wamlostisha Snura

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mama wa Majanga’ amefunguka kwa kusema kuwa mtu aliyeteka namba yake ya simu na kuitumia akiomba fedha na kuitumia kama ni yeye amemfanye apate matatizo na usumbufu usio na manufaa zaidi ya kumkera katika shughuli zake.

“Aliyenifanyia ujinga wa kuharibu namba yangu ya simu na kuanza kuitumia yeye kama mimi si siri amenitia umaskini kwa wakati ule kwani baadhi ya wateja wa kazi zangu walikuwa wakitumia kwa mawasiliano na mimi, lakini...

 

11 years ago

GPL

SNURA TUHUMA NZITO

Stori:  Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata
STAA wa wimbo wa Majanga, Snura Mushi ameingia kwenye majanga baada ya kudaiwa kukacha na deni la prodyuza Mohammed Kandoro wa Studio za Fire Music ambaye alimrekodia nyimbo kadhaa wakati akisaka kutoka. Snura Mushi. Habari kutoka kwa chanzo cha kuaminika zinasema kuwa Snura ameingia mitini na kiasi cha Tsh. 400,000 za prodyuza huyo na kwamba sasa amehamia studio nyingine. Risasi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Snura:Sitaki Unafiki

MWIGIZAJI wa filamu na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi ‘Mama wa Majanga’ amesema kuwa anakerwa sana na unafiki unaofanywa na baadhi ya wasanii kwa kushirikiana na wapenzi wa kazi zao kwa kufanya kampeni za kuangushana katika medani za kimataifa.

“Naepukana na unafiki tena naweza kusema roho mbaya chuki kwa baadhi ya wasanii kuunda makundi ambayo yantumia muda mwingi kuwadisi wengine, mfano hivi sasa wakati Diamond anagombea Tuzo kimataifa eti kuna watu wanaungana na watu...

 

10 years ago

CloudsFM

SNURA KURUDI UPYA

Msanii wa Bongo Fleva na mwigizaji wa Bongo Movie,Snura Mushi(Snu Sex) baada ya kuachia ngoma yake ya pili ya ‘’Ushaharibu’’na kukaa kimya kwa muda mrefu ametangaza kurudi upya mwezi wa pili mwaka huu.Kwa mujibu wa meneja wa msanii huyo,HK alisema kuwa Snura ataachia projects zake mwezi wa pili mwaka huu, baada ya kutoonekana kwenye majukwaa kwa karibu miezi sita.

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA SNURA LIVE!

Hamida Hassan na Gladness Mallya
BAADA ya kuficha kwa muda mrefu huku akikanusha kujifungua, hatimaye staa wa muziki wa mduara na sinema za Kibongo, Snura Mushi ‘mama wa Hawashi’ ameamua kumwanika ‘live’ mwanaye aliyejifungua hivi karibuni na kutoa sababu kuu ya kufanya hivyo. Staa wa muziki wa mduara na sinema za Kibongo, Snura Mushi ‘mama wa Hawashi’akiwa na mwanaye. Akizungumza na...

 

10 years ago

GPL

SNURA ATUMIKA KUTAPELI

Stori: Gladness Mallya MSANII wa filamu na muziki Bongo, Snura Mushi amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kutumika kwa utapeli kupitia namba yake ya simu. Msanii wa filamu na muziki Bongo, Snura Mushi. Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu, Snura alisema aliacha kutumia namba ya awali kwa muda wa miezi miwili baada ya kupotea  ambapo hivi karibuni ndipo alipoanza kupata malalamiko kutoka kwa watu mbalimbali kwamba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani