DUDE: MWAKA 2014 NI GUNDU KWANGU
![](http://api.ning.com:80/files/kdMiOwfaxvd*nFL*bGfblIp66KmvNhTrEtxU1xJEX1V0y1pkv26TbhUM2Bm3P1F8W60t1KLzLNLZoU4XzzXr0qgBB9Nx3Ols/DUDE.jpg)
Stori: Gladness Mallya TUKIWA tunaelekea ukingoni mwa mwaka, msanii wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amefunguka kuwa mwaka 2014 ulikuwa hauna bahati (gundu) hivyo anamuomba Mungu huo ujao uwe wa baraka kwake. Msanii wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’. Akipiga stori na gazeti hili, Dude alisema ndani ya mwaka huu hakuweza kufanikisha lengo lolote kati ya yale aliyojiwekea ikiwa ni pamoja na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies30 Dec
Dude: Mwaka 2014 Haukuwa wa Bahati Kwangu
Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka, mwigizaji wa filamu , Kulwa Kikumba ‘Dude’ amefunguka kuwa mwaka 2014 ulikuwa hauna bahati (gundu) hivyo anamuomba Mungu huo ujao uwe wa baraka kwake.
Akipiga stori na GPL, Dude alisema ndani ya mwaka huu hakuweza kufanikisha lengo lolote kati ya yale aliyojiwekea ikiwa ni pamoja na kufunga ndoa jambo ambalo linamuumiza kwani alitegemea kufanya mambo mengi lakini hakufanikisha.
“Nilitegemea kufunga ndoa lakini imeshindikana kwa sababu upande wa kazi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox4bTMsxy4ZivdVK*ak8VARkIPkZ9phQtKsb4Oe8VY41RFBYt0ioyeXMCdk2VOXcFeK5lzmbI4UtEPu1FwPYBd92/amanda.jpg?width=650)
AMANDA: MWAKA 2013 ULIKUWA MAJANGA KWANGU
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-52XVCrewgFc/VKPcctRp04I/AAAAAAAG6tE/UQ7us3FJeJ0/s72-c/unnamed.jpg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-52XVCrewgFc/VKPcctRp04I/AAAAAAAG6tE/UQ7us3FJeJ0/s1600/unnamed.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-5T5rAqwZNDw/VKPcgErb1II/AAAAAAAG6tU/ij1bYSredpE/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2ISsDccxAbIEkhgATfdmTGZ5RwTJm0C9HU0CDvZm--wIgR2uppcXT6Z5ZekIWfgLB8jUCk2h7-LTtOGfEm3IqB3/snura.jpg?width=650)
SNURA: 2014 MAJANGA KWANGU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TuH-vYM0DCwmC1YUJpCwzySDZopLF8OJ*7JR5NSd3zsBBq0UAZbSYpidiuXxJYgnVN-AmfcbZkNJ83dKTEZs05Qh8-YzHOaf/Amanda.jpg?width=650)
AMANDA: 2014 ULIKUWA FULL MAJANGA KWANGU
10 years ago
VijimamboKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA JOHN MINJA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2014, MAKAO MAKUU YA MAGEREZA, D'SALAAM
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f3Cpy2Teci2PsMqfmmwWv1HplrfKJguHTWxHxLYte1EPMFu-T-9AHsrHB6splLKF7nfU*UtqU6dOkxkV2yjQsiJdHGFr7apj/unnamed.jpg?width=650)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2015
11 years ago
Michuzi08 May
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-sVa92OS-k94/VLFG_2SDazI/AAAAAAAG8gQ/YVFHKrwjKM8/s72-c/unnamed%2B(32).jpg)
SHEREHE YA MAOFISA MAGEREZA KUUAGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2015 YAFANA JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-sVa92OS-k94/VLFG_2SDazI/AAAAAAAG8gQ/YVFHKrwjKM8/s1600/unnamed%2B(32).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-dM-T8w4-2tQ/VLFHAHztCMI/AAAAAAAG8gU/V1fA78CRfmY/s1600/unnamed%2B(34).jpg)