Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAFURIKO DAR FULL MAJANGA

Hali halisi ya mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika baadhi ya maeneo ya Dar. Stori: haruni sanchawa MAFURIKO makubwa yameleta ‘full majanga’ katika wilaya zote tatu jijini Dar es Salaam kufuatia mvua nyingi zilizonyesha mfululizo kwa siku tatu. Mwandishi wetu ambaye alizunguka mitaa mbalimbali alishuhudia maiti moja maeneo ya Jangwani wilayani Ilala  ambayo haikutambuliwa lakini polisi kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAFURIKO DAR BADO NI MAJANGA TUPU!

Baadhi ya wananchi wakivushwa kwa kushikwa mkono katika eneo la Afrika Sana jijini Dar. Kushoto ni kijana anayemvusha mtu kwa kumshika mkono ambapo hutoza kiasi cha shilingi mia mbili. Wananchi wakionekana kupata adha ya kupita katika mafuriko eneo la Chuo Cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama.…

 

10 years ago

GPL

AMANDA: 2014 ULIKUWA FULL MAJANGA KWANGU

Hamida Hassan
Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amesema mwaka uliopita wa 2014 ulikuwa mbaya sana kwake kwani aliandamwa na majanga yaliyotikisa maisha yake. Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’. Akizungumzia namna alivyoupkea mwaka wa 2015 Amanda alisema, kwanza anamshukuru Mungu kwa kuuona akiwa mzima lakini akamuomba amuepushe na mabalaa kwani uliopita haukuwa rafiki kwake....

 

10 years ago

Mwananchi

Uandikishaji BVR Dar majanga

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) itatakiwa kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha inatimiza mipango yake kuelekea katika Uchaguzi Mkuu kutokana na ugumu unaoweza kutokea katika kukamilisha uandikishaji wapigakura katika jiji la Dar es Salaam na ugawaji wa mipaka ya majimbo nchini.

 

10 years ago

Mtanzania

Dar yazingirwa na mafuriko

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MVUA zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimesababisha watu waliopoteza maisha kwa kufariki dunia kufikia saba, huku nyumba zaidi ya 200 zikiwa zimezingirwa na maji katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo.
Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa katika maeneo ya Buguruni Kwa Mnyamani baadhi ya nyumba bado zimengirwa na maji na kusababisha wananchi wanaoishi kwenye maeneo hayo kuhama kwa muda.
Akizungumza na MTANZANIA jana, mkazi wa Buguruni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mafuriko yatikisa Dar

MVUA zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimesababisha uharibufu wa miundombinu ya barabara, nguzo za umeme na mingine kuharibika, hali iliyokwamisha shughuli nyingi jana. Mvua hizo zilizonyesha usiku mzima wa...

 

10 years ago

GPL

MAFURIKO JIJINI DAR

MVUA kubwa iliyonyesha leo imesababisha mafuriko katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na kuleta usumbufu kwa wakazi wa jiji hilo kama inavyoonekana pichani…

 

10 years ago

Mtanzania

Mafuriko ni vilio Dar

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam

WATU wanane wamefariki dunia kutokana na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam.

Akitoa taarifa ya vifo hivyo Dar es Salaam jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema watu watano wametambuliwa na wengine watatu bado hawajatambulika na miili yao imehifadhiwa katika ya Hospitali ya Mwananyamala.
Alisema Mei 6 mwaka huu, saa moja usiku maeneo ya Magomeni wilayani Kinondoni, mkazi wa Manzese, Shabani Idd...

 

11 years ago

Habarileo

Mafuriko Dar yaua 41

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck SadikiMAFURIKO yaliyotokea Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki yamesababisha vifo vya watu 41.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani