Mafuriko ni vilio Dar
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
WATU wanane wamefariki dunia kutokana na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam.
Akitoa taarifa ya vifo hivyo Dar es Salaam jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema watu watano wametambuliwa na wengine watatu bado hawajatambulika na miili yao imehifadhiwa katika ya Hospitali ya Mwananyamala.
Alisema Mei 6 mwaka huu, saa moja usiku maeneo ya Magomeni wilayani Kinondoni, mkazi wa Manzese, Shabani Idd...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NjHDmKPq-vBeevEGGVN5pgX2T-kubqmbHh918mx0qzoFPwx6uKqepPHwvhu3rodJXQ72zBCsXa27I37hbQJIALsP4uiY4xnM/Mafuriko.jpg)
MAFURIKO DAR YALIVYOACHA VILIO
9 years ago
Mtanzania31 Dec
Vilio, vurugu Dar
Wananchi wapambana na polisi bomoabomoa
Ruth Mnkeni, Dar es Salaam
VILIO na vurugu vimetawala jijini Dar es Salaam jana wakati wa uwekaji wa alama za X katika nyumba zilizojengwa katika maeneo ya Bonde la Mto Msimbazi ambapo wananchi walipambana na Jeshi la Polisi.
Askari polisi walilazimika kutumia risasi za moto, mabomu ya machozi pamoja na magari ya maji ya kuwasha ili kutawanya wananchi waliokuwa wakipinga kuwekewa alama hizo katika nyumba zao.
Vurugu hizo zilitokea katika maeneo ya...
10 years ago
Mtanzania11 Feb
Simanzi, vilio vyatawala Dar
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
SIMANZI na vilio vimetawala jana eneo la Kipunguni Ukonga jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mhandisi mstaafu wa ndege, marehemu Luteni David Mpira (68), ambaye alifariki pamoja na familia yake ya watu watano baada ya nyumba yao kuungua na moto usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita.
Mpira ambaye enzi za uhai wake alikuwa mwanajeshi, alikutwa na umauti huo saa tisa usiku pamoja na mke wake Celina Mpira (62), mtoto wake Lucas Mpira (37), shemeji yake Samuel Yegera...
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Bomoabomoa yaacha vilio, simanzi Dar
10 years ago
Mwananchi11 Feb
Ni simanzi na vilio mazishi ya wanafamilia sita Dar
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uVSra6c8ZxVgqsSV7P5IrluaFX21yVTCYC9F3yx7QlfTn7K*6okxOfZ3mPL4m5mEUlUg7EOfsLZYueE3c51SnIIWmfuXzBTl/mafuriko.jpg?width=650)
MAFURIKO JIJINI DAR
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
Mafuriko yatikisa Dar
MVUA zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimesababisha uharibufu wa miundombinu ya barabara, nguzo za umeme na mingine kuharibika, hali iliyokwamisha shughuli nyingi jana. Mvua hizo zilizonyesha usiku mzima wa...
10 years ago
Mtanzania24 Mar
Dar yazingirwa na mafuriko
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MVUA zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimesababisha watu waliopoteza maisha kwa kufariki dunia kufikia saba, huku nyumba zaidi ya 200 zikiwa zimezingirwa na maji katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo.
Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa katika maeneo ya Buguruni Kwa Mnyamani baadhi ya nyumba bado zimengirwa na maji na kusababisha wananchi wanaoishi kwenye maeneo hayo kuhama kwa muda.
Akizungumza na MTANZANIA jana, mkazi wa Buguruni...
11 years ago
Habarileo16 Apr
Mafuriko Dar yaua 41
MAFURIKO yaliyotokea Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki yamesababisha vifo vya watu 41.