Vilio, vurugu Dar
Wananchi wapambana na polisi bomoabomoa
Ruth Mnkeni, Dar es Salaam
VILIO na vurugu vimetawala jijini Dar es Salaam jana wakati wa uwekaji wa alama za X katika nyumba zilizojengwa katika maeneo ya Bonde la Mto Msimbazi ambapo wananchi walipambana na Jeshi la Polisi.
Askari polisi walilazimika kutumia risasi za moto, mabomu ya machozi pamoja na magari ya maji ya kuwasha ili kutawanya wananchi waliokuwa wakipinga kuwekewa alama hizo katika nyumba zao.
Vurugu hizo zilitokea katika maeneo ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania09 May
Mafuriko ni vilio Dar
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
WATU wanane wamefariki dunia kutokana na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam.
Akitoa taarifa ya vifo hivyo Dar es Salaam jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema watu watano wametambuliwa na wengine watatu bado hawajatambulika na miili yao imehifadhiwa katika ya Hospitali ya Mwananyamala.
Alisema Mei 6 mwaka huu, saa moja usiku maeneo ya Magomeni wilayani Kinondoni, mkazi wa Manzese, Shabani Idd...
10 years ago
Mtanzania11 Feb
Simanzi, vilio vyatawala Dar
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
SIMANZI na vilio vimetawala jana eneo la Kipunguni Ukonga jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mhandisi mstaafu wa ndege, marehemu Luteni David Mpira (68), ambaye alifariki pamoja na familia yake ya watu watano baada ya nyumba yao kuungua na moto usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita.
Mpira ambaye enzi za uhai wake alikuwa mwanajeshi, alikutwa na umauti huo saa tisa usiku pamoja na mke wake Celina Mpira (62), mtoto wake Lucas Mpira (37), shemeji yake Samuel Yegera...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NjHDmKPq-vBeevEGGVN5pgX2T-kubqmbHh918mx0qzoFPwx6uKqepPHwvhu3rodJXQ72zBCsXa27I37hbQJIALsP4uiY4xnM/Mafuriko.jpg)
MAFURIKO DAR YALIVYOACHA VILIO
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Bomoabomoa yaacha vilio, simanzi Dar
10 years ago
Mwananchi11 Feb
Ni simanzi na vilio mazishi ya wanafamilia sita Dar
10 years ago
Habarileo11 Apr
Vurugu mgomo wa madereva Dar es Salaam
MGOMO wa madereva wa mabasi ya mikoani na baadhi ya mabasi ya usafiri Dar es Salaam maarufu daladala uliofanyika jana, uliambatana na vurugu katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo na kulazimisha askari Polisi kutumia mabomu ya machozi kurejesha hali ya amani.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdjP5CiMqZxFtcgL01GzKjcLBZ2YgajqtgbxoOeXUK9yArLEHd9daj2QGqqFtk2D8gONPG-uQMYBXvBul*XQyecq/polisi.jpg?width=650)
POLISI DAR WAZIMA VURUGU KWA MABOMU YA MACHOZI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ov90wJC7zCxu2LB3sDsIGMleJ9ijNgmmGPLZK7Yy-3I-vuFigcFpJQTCCQ*ezB*J7m5uDw6ArFzRNZuywsoE0RcEc6gxEs3r/KARUME.jpg?width=650)
VURUGU KARUME: JESHI LA POLISI LATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUWATAWANYA MACHINGA DAR
11 years ago
Dewji Blog21 Apr
Vijana wazalendo wa vyuo vya elimu ya juu Dar walaani vurugu zinazojitokeza Bunge ,maalum la Katiba
Mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Gulatone Masiga akifafanua jambo kwa waandishi wa Habari(hawapo pichani), kushoto ni Acbert Sweya kutoka Chuo Kikuu cha Kampala.wakati wa Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam.
Tamko La Wanafunzi by moblog