Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kevin Hart: Mwanzo ulikuwa mgumu kwangu

Kwa hakika usemi wa mwanzo mgumu unaweza kuwa sehemu ya maisha ambayo wamepitia watu wengi ambao wanaonekana kufanikiwa hivi sasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kevin Hart’s ‘What Now’ tour comes to Africa

American actor, comedian and star of television hit series, “Real Husbands of Hollywood”, Kevin Hart, is set to perform in South Africa. Savanna Premium Cider is bringing one of the world’s hottest names in stand-up, celebrated American actor Kevin Hart, on his first ever tour to South Africa. The South African leg of the tour […]

 

11 years ago

GPL

AMANDA: MWAKA 2013 ULIKUWA MAJANGA KWANGU

Tamrina Poshi ‘Amanda’. Stori: Gladness Mallya
MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa mwaka 2013 ulikuwa majanga kwake kwani ulikuwa mgumu sana na mambo yake hayakumwendea vizuri. Akichonga na gazeti hili, Amanda alisema bora mwaka huu upite, kwani ulikuwa mgumu sana kwa upande wake  katika mambo f’lani ambayo hakutaka kuyataja ila anaamini kuwa...

 

10 years ago

GPL

AMANDA: 2014 ULIKUWA FULL MAJANGA KWANGU

Hamida Hassan
Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amesema mwaka uliopita wa 2014 ulikuwa mbaya sana kwake kwani aliandamwa na majanga yaliyotikisa maisha yake. Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’. Akizungumzia namna alivyoupkea mwaka wa 2015 Amanda alisema, kwanza anamshukuru Mungu kwa kuuona akiwa mzima lakini akamuomba amuepushe na mabalaa kwani uliopita haukuwa rafiki kwake....

 

9 years ago

Mwananchi

Malocha: Uchaguzi ulikuwa mgumu

Mbunge mteule wa Jimbo la Kwela (CCM), Ignas Malocha amesema haikuwa kazi rahisi kupata ushindi kutokana na ushindani mkubwa alioupata kutoka kwa mgombea wa Chadema, Daniel Ngogo.

 

11 years ago

Mwananchi

JK: Ulikuwa wakati mgumu kuona mwili wa Mandela

 Rais Jakaya Kikwete amesema amepata wakati mgumu alipouona mwili wa Rais wa Kwanza Mzalendo wa Afrika Kusini, alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa kiongozi huyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mbwana Sammatta 'Mchezo ulikuwa mgumu upande wetu'

Sammatta amekiri kuwa Manchester City iliishinda nguvu Aston Villa

 

5 years ago

Michuzi

WAJASIRIAMALI MWANZO MGUMU WAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA USAFIRI KUSAFIRISHA MAWE



***************************
NA MWAMVUA MWINYI 
WAJASIRIAMALI wa Kikundi cha Mwanzo Mgumu, kilichopo Kijiji cha Kwedikwazu Kata ya Kabuku wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga, wanahitaji usafiri utaowarahisishia kazi zao za ubebaji wa mawe. 
Wakizungumza na Waandishi wa habari katika eneo wanalofanya shughuli zao za kubangua mawe, Wajasiriamali hao walisema kuwa wananufaika na machimbo ya mawe yanayotumika kutengenea Marumaru na Jipsam katika majengo mbalimbali. 
Katibu wa kikundi hicho Saumu Kisaka...

 

11 years ago

BBCSwahili

Aguero apiga Hart trick,City ikishinda.

Magoli matatu ya Sergio Aguero na moja la Kolarov, yameisaidia Man City kuvuka raundi ya nne ya michuano ya kombe la FA.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani