FULL MSISIMKO FULL MSISIMKO TAMASHA LA MATUMAINI 2014
![](http://api.ning.com:80/files/E9fEOxuVMyTpIj2qJmOWtg7aT1Q6G5qJFyH-tdqPBQLU7AZslU6EJsoib6Wra53EaRvHkRnbGowgp6ikLolrsKSyIsHR2mj2/u67.jpg)
HAPATOSHI! Unaweza sema hivyo kwa maana nyingine wakati lile tamasha kubwa la kihistoria linalosubiriwa kwa hamu kubwa lijulikanalo kama Usiku wa Matumaini litakapowakutanisha bondia Thomas Mashali na Mada Maugo huku staa wa Bongo Fleva Ali Kiba akiwapagawisha mashabiki Agosti 8, mwaka huu (Sikukuu ya Nanenane) ndani ya Uwanja wa Taifa. Akizungumza na Mikito Nusunusu, mratibu wa tamasha hilo kubwa, Luqman Maloto alisema kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y8bD62HksPjRPGZm-6CiUTUhnJw1TB1WqUbPMM4LwyHSyk4PVh1sL5n6TFsK8C41P506-54XBimYQyZqgrfxCtem2eWuB9Aa/FRONTJUMAMOSI111111.jpg)
TAMASHA LA MATUMAINI 2014 FULL MSISIMKO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LMZbfjT5Z7OLFn5rqm-Vdw1JhAA3MRM5UsJ*FELdjbEnc4oPrYC89XCrNu6yaw186WxsDJRZHtEzq3frQ7xx4zf77Tj2lIJJ/BillbA3.jpg?width=750)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8qIoio0GTJPLWWedmITXz7bQ4TDWNpoVGY4YiWWCXIeDfNahshGjf0**x6-*2isnfsFZV1-xeLaYjE2Ya6QJcnEWpJyfb-k3/TAMASHALAMATUMAINIA3.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/J9FGucqSAtHIvfwhnF6BX9UQREkR50iUJnDEsNhuK9LbPHLaf50XRG2VoNPswCGPVjlIn*12m*KJUQIYGUAOpQhImOm5-33c/koko.jpg)
TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 WABUNGE SIMBA NA YANGA FULL KUKANYAGANA UWANJA WA TAIFA
11 years ago
Dewji Blog30 Jul
Tamasha la usiku wa matumaini 2014 Wabunge Simba na Yanga full kukanyagana wwanja wa Taifa
Makala na Nassor Gallu
SIKU ya Agosti 8, mwaka huu kutakuwa na bonge la mechi litakalopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo wabunge wanaoshabikia Yanga, watakuwa dimbani kupepetana na wenzao wa Simba.
Wabunge wa timu ya Simba wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Hebu jaribu kuvuta picha katika ubongo wako, waheshimiwa wabunge watakapoweka kando masuala ya ‘Ukawa’ na ‘Tanzania Kwanza’, kisha kukutana katika uwanja kuonyeshana umwamba kwa kusakata gozi la ng’ombe katika mchezo huu wa...
10 years ago
BBCSwahili13 Feb
Msisimko wa 50 shades of grey
10 years ago
GPL26 Dec
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Ligi Tanzania,kuwa na msisimko
9 years ago
BBCSwahili27 Oct
Msisimko wa mbio za Stanchart Marathon