Msisimko wa mbio za Stanchart Marathon
Benki ya Standard Chartered iliandaa mbio za Marathon za kila mwaka jijini Nairobi. Hii ilikuwa makala ya 13.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMBIO ZA UHURU MARATHON ZAZINDULIWA LEO
9 years ago
BBCSwahili28 Sep
Wakenya watawala mbio za Berlin Marathon
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Wakenya watawala mbio za New York Marathon
10 years ago
MichuziWadhamini waanza kujitokeza Mbio za Uhuru Marathon
10 years ago
MichuziBenki ya Exim yapiga jeki mbio za marathon Ngorongoro
10 years ago
Michuzi10 Mar
NSSF yang'ara mashindano ya mbio za Kilimanjaro marathon
NSSF ilishiriki ikiwa kama mdhamini wa mbio za KM 5 ambazo zilishirikisha washiriki zaidi ya 3500. Pamoja na udhamini huo NSSF ilipata nafasi ya kutoa elimu kwa wakazi mbalimbali wa Mkoa wa kilimanjaro walioshiriki na kutembelea kwenye banda lao. Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Cresentius Magori (wa tatu kulia)...
10 years ago
Dewji Blog12 Apr
Mbio za kimataifa za Ngorongoro Marathon sasa kufanyika Aprili 18
Waandaaji wa mbio za kimataifa za Ngorongoro Maratahoni katika mkutano na wanahabari kuzungumzia maandalizi ya mwisho ya mbio hizo zinazotarajia kufanyika Aprili 18 mwaka huu ,Karatu mkoani Arusha.
Mkurugenzi wa Zara Tanzania Adventure na Zara Charity,Zainab Ansel akizungumza na wanahabari kuhusu maandalizi ya mbio hizo ambazo zinadhaminiwa na Shirika lisilo la kiserikali la Zara Charity.
Mratibu wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni Meta Peter akizungumzuia wanariadha wa Tanzania ambao...
10 years ago
MichuziMbio za Uhuru Marathon zazinduliwa rasmi leo jijini Dar
5 years ago
MichuziMBIO ZA NGORONGORO MIN MARATHON KUFANYIKA APRIL 19 MWAKA HUU
Mazungumzo yakiendelea kuelezea msimu wa Mbio za Ngorongoro min Marathon za mwaka huu April 19 wilayani Karatu picha na Ahmed Mahmoud Arusha
Na Ahmed Mahmoud Arusha .
Msimu wa mbio za Ngorongoro mwaka 2020...