Mbio za Uhuru Marathon zazinduliwa rasmi leo jijini Dar
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzunduzi wa Mbio za Uhuru Marathon,uliofanyika leo kwenye hoteli ya Kebby's,Mwenge jijini Dar es Salaam.Mbio hizo ambazo zinaenda sambamba na Maadhimisho ya Uhuru wa Taifa letu la Tanzania,zitafanyika Desemba 8,2014 katika viwanja vya Leaders Club,jijini Dar es salaam.Wengine pichani ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Riadha Tanzania,Bi. Ombeni Zavala...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMBIO ZA UHURU MARATHON ZAZINDULIWA LEO
11 years ago
MichuziFILAMU ZA SWAHILIWOOD ZAZINDULIWA RASMI KATIKA UKUMBI WA CENTRUY CINEMAX, OYSTERBAY, JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
Dewji Blog08 Dec
Albamu ya nyimbo za Injili ya Sogea na Baraka za Bwana zazinduliwa rasmi jijini Dar na Mhe. Angela Kairuki
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo na Makazi, Angela Kairuki (kushoto), akionesha DVD ya nyimbo za injili iitwayo Sogea wakati wa uzinduzi wa albamu mbili za nyimbo hizo ikiwepo na ya Baraka za Bwana zilizoimbwa na muimbaji Anna Shayo Dar es Salaam juzi. Kulia ni Mwanaharakati Hoyce Temu na mwimbaji na mmiliki wa albam hizo, Anna Shayo. Kairuki alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo.
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo na Makazi, Angela Kairuki...
10 years ago
MichuziKilele cha Mbio za Uhuru chafanyika jijini Dar
10 years ago
MichuziWadhamini waanza kujitokeza Mbio za Uhuru Marathon
10 years ago
MichuziUsajili wa wanaridha Uhuru marathon Tanzania kuanza rasmi kesho
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu wa Kamati ya mbio hizo, Innocent Melleck alisema, mara baada ya Dar es Salaam fomu za usajili zinatarajiwa kutolewa Dodoma kuanzia wiki ijayo.
“Tunapenda kutangaza rasmi kwamba usajili kwa ajili ya mbio hizo umeanza rasmi katika Mkoa wa Dar es Salaam, ambapo...
11 years ago
MichuziDKT BILAL MGENI RASMI UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Gharib Bilal, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2014, katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, mkoani Kagera Mei tarehe 2. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara wakati akiongea na Waandishi wa Habari Mjini Bukoba kuhusu Mbio hizo.
Mwenge huo utakaobeba ujumbe usemao “Katiba ni Sheria Kuu ya...
11 years ago
GPLBAJAJ MPYA AINA YA RE4S ZAZINDULIWA JIJINI DAR