Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBIO ZA UHURU MARATHON ZAZINDULIWA LEO

Kutoka kushoto ni Zainabu Mbino (M/Kiti Riadha Dar), Naibu Katibu wa Chama cha Riadha Tanzania (RT) Ombeni Zavara, mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo, Elisante Ole  Gabriel na Mratibu wa mashindano ya Uhuru Marathon, na Inocent Melleck. Mgeni Rasmi wa uzinduzi wa mbio za Uhuru Marathon, Mh. Elisante ole Gabriel akiongea na waandishi wa habari(… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mbio za Uhuru Marathon zazinduliwa rasmi leo jijini Dar

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzunduzi wa Mbio za Uhuru Marathon,uliofanyika leo kwenye hoteli ya Kebby's,Mwenge jijini Dar es Salaam.Mbio hizo ambazo zinaenda sambamba na Maadhimisho ya Uhuru wa Taifa letu la Tanzania,zitafanyika Desemba 8,2014 katika viwanja vya Leaders Club,jijini Dar es salaam.Wengine pichani ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Riadha Tanzania,Bi. Ombeni Zavala...

 

10 years ago

Michuzi

Wadhamini waanza kujitokeza Mbio za Uhuru Marathon

Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt,Mama Consolata Adam (katikati) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi Milioni 35 kwa Mratibu wa Mbio za Uhuru Marathon,Innocent Melleck (kulia) wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo iliyofanyika leo jijini Dar.Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Shirikisho la Riadhaa Tanzania (RT), Tullo Chambo. Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt,Mama Consolata Adam akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) wakati wa kutanganza udhamini wa mbio fupi...

 

10 years ago

GPL

YALIYOJIRI LEO UHURU MARATHON

Bendi ya jeshi la polisi ikitumbuiza. Wageni rasmi (kutoka kushoto) Mwenyekiti mstaafu wa BMT, Kanali Idd Kipingu, Mkurugenzi Msaidizi Wizara ya Habari na Michezo, Juliana yasoda, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangala,  Mratibu wa Uhuru Marathon, Innocent Meleck. Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha,…

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK kubariki Uhuru Marathon leo

p>MBIO za Uhuru Marathon 2013 zinatimua vumbi leo huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Rais Jakaya Kikwete. Mbio hizo za Km 42, Km 21, Km 5 na Km 3 zitaanzia viwanja...

 

11 years ago

Mwananchi

Uhuru Marathon kivumbi leo

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ataongoza wabunge 84 katika mbio za Uhuru Marathon zitakazofanyika leo kwenye Viwanja wa Leaders Club

 

11 years ago

Michuzi

MWENGE WA UHURU WAANZA MBIO ZAKE MKOANI RUKWA LEO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi (kulia) Dkt. Rajab Mtumwa Rutengwe mapema leo, baadae aliukabidhi Mwenge huo kwa Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu Iddi Hassan Kimanta ambapo umeanza mbio zake katika Wilaya hiyo Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akisoma hotuba ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru mara baada ya kuwasili Mkoani Rukwa ukitokea Mkoa jirani wa Katavi mapema leo. Katika hotuba yake hiyo amesema Mwenge huo...

 

11 years ago

Michuzi

MWENGE WA UHURU 2014 WAMALIZA MBIO ZAKE MKOANI RUKWA LEO,

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya (katikati) akishiriki mbio za Mwenge wa Uhuru (2014) na viongozi wa mbio hizo kitaifa, viongozi na wafanyakazi wa Serikali, vyama vya siasa Mkoani Rukwa na wananchi muda mfupi kabla ya kukabidhi Mwenge huo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Abass Kandoro baada ya Mwenge huo kukamilisha mbio zake Mkoani Rukwa leo tarehe 25-05-2014. Mwenge huo wa Uhuru mkoani Rukwa ulitembelea miradi ya maendeleo 28 na vikundi 27 vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya Tsh....

 

9 years ago

BBCSwahili

Msisimko wa mbio za Stanchart Marathon

Benki ya Standard Chartered iliandaa mbio za Marathon za kila mwaka jijini Nairobi. Hii ilikuwa makala ya 13.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wakenya watawala mbio za Berlin Marathon

Wakenya Eliud Kipchoge na Gladys Cherono ndio mabingwa wa mwaka huu wa mashindano ya Berlin Marathon yaliyofanyika leo huko Ujerumani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani