MWENGE WA UHURU 2014 WAMALIZA MBIO ZAKE MKOANI RUKWA LEO,
![](http://2.bp.blogspot.com/-U6cS-4BFf-8/U4HKSPbiD1I/AAAAAAAAFgg/oGMLcXYYLUE/s72-c/PIC+2.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya (katikati) akishiriki mbio za Mwenge wa Uhuru (2014) na viongozi wa mbio hizo kitaifa, viongozi na wafanyakazi wa Serikali, vyama vya siasa Mkoani Rukwa na wananchi muda mfupi kabla ya kukabidhi Mwenge huo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Abass Kandoro baada ya Mwenge huo kukamilisha mbio zake Mkoani Rukwa leo tarehe 25-05-2014. Mwenge huo wa Uhuru mkoani Rukwa ulitembelea miradi ya maendeleo 28 na vikundi 27 vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya Tsh....
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JA1xxkSsc3M/U3x_nb5G8AI/AAAAAAAAFcU/Vsm1Kq7oYTA/s72-c/P5218268.jpg)
MWENGE WA UHURU WAANZA MBIO ZAKE MKOANI RUKWA LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-JA1xxkSsc3M/U3x_nb5G8AI/AAAAAAAAFcU/Vsm1Kq7oYTA/s1600/P5218268.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-nxCNA-ihtIo/U3yBK3QmeFI/AAAAAAAAFc8/wmaK33nlfBA/s1600/P5218325.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-vV1SspcpGBI/U3yBiZDo7vI/AAAAAAAAFdE/O3uI7dvefug/s1600/P5218277.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-5ilXb6vBOpM/U35YBaldPQI/AAAAAAAAFdU/rxWUQpeaR80/s72-c/P5228381.jpg)
ZIARA YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU WILAYANI KALAMBO MKOANI RUKWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-5ilXb6vBOpM/U35YBaldPQI/AAAAAAAAFdU/rxWUQpeaR80/s1600/P5228381.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-SOaz_s7Q_5s/U35YsjS5KFI/AAAAAAAAFdc/eH49BqtVZnw/s1600/P5228377.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-a9U-KI8GOew/U35Z7UGjLkI/AAAAAAAAFdo/74b5xzhZMLo/s1600/P5228454.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-5ilXb6vBOpM/U35YBaldPQI/AAAAAAAAFdU/rxWUQpeaR80/s72-c/P5228381.jpg)
ZIARA YA MWENGE WA UHURU WILAYANI KALAMBO MKOANI RUKWA LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-5ilXb6vBOpM/U35YBaldPQI/AAAAAAAAFdU/rxWUQpeaR80/s1600/P5228381.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-SOaz_s7Q_5s/U35YsjS5KFI/AAAAAAAAFdc/eH49BqtVZnw/s1600/P5228377.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-a9U-KI8GOew/U35Z7UGjLkI/AAAAAAAAFdo/74b5xzhZMLo/s1600/P5228454.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j5WbzQSo3h84oK4AzOqvMKdJeRrRjKy8j6W2h2Ab2mU6k6Tp*NzVuS92DvscOAoFhl005PGAqSMQtPGq-yy5qXogJA-J2hyE/22.jpg?width=650)
HOTUBA YA JAKAYA KIKWETE KWENYE SHEREHE YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA NA WIKI YA VIJANA KITAIFA, TAREHE 14/10/2014 – MKOANI TABORA
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/7ivGzfL1pjQ/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJURHTRYmJsUuDQpbl8TFUjfbIapVVss4PhtB4aOjJTlLI1AeRN18UKkkA-TCKbkcXf2lYytcleEMTeflLJtoGY4k/bilal.jpg?width=650)
DKT. BILAL AZINDUA SHEREHE ZA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOANI KAGERA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-yjH2Bp9dIIM/VT_xeRs3SqI/AAAAAAAC3wo/OrNyTmsmGSg/s72-c/Dr-Ali-Mohamed-Shein.jpg)
Dkt. Shein mgeni rasmi uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mkoani Ruvuma.
![](http://3.bp.blogspot.com/-yjH2Bp9dIIM/VT_xeRs3SqI/AAAAAAAC3wo/OrNyTmsmGSg/s1600/Dr-Ali-Mohamed-Shein.jpg)
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2015 ambazo Kitaifa zinafanyika Mkoani Ruvuma.
Kauli hiyo imetolewa leo na Waizri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara wakati wa mazoezi ya ya mwisho yaliyofanyika katika Uwanja wa mpira wa Majimaji mjini Songea.
Waziri Fenella amesema kuwa maandalizi yameenda vizuri na kuwataka wananchi kujitokeza...
10 years ago
Dewji Blog29 Apr
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-47slshMukoc/U2OWS39Bl1I/AAAAAAAFe6M/bv8_RPgeD3I/s72-c/1B.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASMI SHEREHE ZA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOANI KAGERA
![](http://3.bp.blogspot.com/-47slshMukoc/U2OWS39Bl1I/AAAAAAAFe6M/bv8_RPgeD3I/s1600/1B.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-d6it8odIcDc/U2OWZKGIrCI/AAAAAAAFe6w/SrXr3-XH5AY/s1600/3B.jpg)