MWENGE WA UHURU WAANZA MBIO ZAKE MKOANI RUKWA LEO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi (kulia) Dkt. Rajab Mtumwa Rutengwe mapema leo, baadae aliukabidhi Mwenge huo kwa Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu Iddi Hassan Kimanta ambapo umeanza mbio zake katika Wilaya hiyo
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akisoma hotuba ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru mara baada ya kuwasili Mkoani Rukwa ukitokea Mkoa jirani wa Katavi mapema leo. Katika hotuba yake hiyo amesema Mwenge huo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
MWENGE WA UHURU 2014 WAMALIZA MBIO ZAKE MKOANI RUKWA LEO,

11 years ago
Michuzi
ZIARA YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU WILAYANI KALAMBO MKOANI RUKWA



11 years ago
Michuzi
ZIARA YA MWENGE WA UHURU WILAYANI KALAMBO MKOANI RUKWA LEO



11 years ago
GPL
DKT. BILAL AZINDUA SHEREHE ZA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOANI KAGERA
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
Dkt. Shein mgeni rasmi uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mkoani Ruvuma.

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2015 ambazo Kitaifa zinafanyika Mkoani Ruvuma.
Kauli hiyo imetolewa leo na Waizri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara wakati wa mazoezi ya ya mwisho yaliyofanyika katika Uwanja wa mpira wa Majimaji mjini Songea.
Waziri Fenella amesema kuwa maandalizi yameenda vizuri na kuwataka wananchi kujitokeza...
10 years ago
Dewji Blog29 Apr
11 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASMI SHEREHE ZA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOANI KAGERA


10 years ago
Michuzi
DKT.SHEIN AZINDUA MBIO ZA MWENGE MKOANI RUVUMA LEO

