Wakenya watawala mbio za Berlin Marathon
Wakenya Eliud Kipchoge na Gladys Cherono ndio mabingwa wa mwaka huu wa mashindano ya Berlin Marathon yaliyofanyika leo huko Ujerumani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Wakenya watawala mbio za New York Marathon
Wakenya Stanley Biwott na Mary Keitany walishinda mbio za wanaume na wanawake katika mbio za New York Marathon zilizoandaliwa Jumapili.
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Bingwa wa Berlin Marathon asherehekewa
Mwanariadha Dennis Kimetto amepata makaribisho ya kufana aliporudi nchini Kenya siku ya jumapili,baada ya kuvunja rekodi ya dunia.
9 years ago
TheCitizen28 Sep
Kipchoge, Cherono win Berlin Marathon
Kenyans Eliud Kipchoge and Gladys Cherono swept to their maiden Berlin Marathon victories in personal best times on Sunday in Germany.
11 years ago
BBCSwahili14 Apr
Wakenya watamba London Marathon
Wakenya walishinda nafasi za kwanza mbili katika mbio za wanaume na zile za wanawake huko London.
11 years ago
MichuziWAKENYA WAENDELEA KUTESA KILIMANJARO MARATHON
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi.
MWANARIADHA wa Kitanzania, Jackline Sakilu jana aliibuka shujaa katika mashindano ya mbio ndefu za kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2014, baada ya kuibuka mshindi katika mashindano ya kilomita 21, (nusu marathon), kwa upande wa wanawake.
Katika mbio hizo zilizofanyika mjini Moshi,Sakilu ambaye ni afisa wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) amefanikiwa kuvunja rekodi iliyowekwa na mshindi wa kwanza wa mwaka jana ,Sara Ramadhan ya...
9 years ago
BBCSwahili27 Oct
Msisimko wa mbio za Stanchart Marathon
Benki ya Standard Chartered iliandaa mbio za Marathon za kila mwaka jijini Nairobi. Hii ilikuwa makala ya 13.
10 years ago
GPLMBIO ZA UHURU MARATHON ZAZINDULIWA LEO
Kutoka kushoto ni Zainabu Mbino (M/Kiti Riadha Dar), Naibu Katibu wa Chama cha Riadha Tanzania (RT) Ombeni Zavara, mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo, Elisante Ole Gabriel na Mratibu wa mashindano ya Uhuru Marathon, na Inocent Melleck. Mgeni Rasmi wa uzinduzi wa mbio za Uhuru Marathon, Mh. Elisante ole Gabriel akiongea na waandishi wa habari(… ...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-dC-WCjPdBzM/VD55vFACs-I/AAAAAAAGqoU/ImlmVkKaB3U/s72-c/MMGM0096.jpg)
Wadhamini waanza kujitokeza Mbio za Uhuru Marathon
![](http://3.bp.blogspot.com/-dC-WCjPdBzM/VD55vFACs-I/AAAAAAAGqoU/ImlmVkKaB3U/s1600/MMGM0096.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-owF_VCQLKsM/VD55uDGQW1I/AAAAAAAGqoE/RS0NQKxiV2c/s1600/MMGM0010.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania