Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bingwa wa Berlin Marathon asherehekewa

Mwanariadha Dennis Kimetto amepata makaribisho ya kufana aliporudi nchini Kenya siku ya jumapili,baada ya kuvunja rekodi ya dunia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wakenya watawala mbio za Berlin Marathon

Wakenya Eliud Kipchoge na Gladys Cherono ndio mabingwa wa mwaka huu wa mashindano ya Berlin Marathon yaliyofanyika leo huko Ujerumani.

 

9 years ago

TheCitizen

Kipchoge, Cherono win Berlin Marathon

Kenyans Eliud Kipchoge and Gladys Cherono swept to their maiden Berlin Marathon victories in personal best times on Sunday in Germany.

 

9 years ago

Michuzi

IDARA YA UHAMIAJI YAWA BINGWA MICHUANO YA MPIRA WA PETE KLABU BINGWA TANZANIA

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiTIMU ya Mpira wa Pete ya Idara ya Uhamiaji,imeibuka mshindi katika michuano ya mashindano ya Klabu bingwa wa mpira wa pete baada ya kuipiga timu ya Mbweni JKT iliyokuwa ikishikilia ubingwa huo. Akizungumza baada ya kupokea kombe hilo ,Kamishina wa Utawala na Fedha wa Idra ya Uhamiaji,Piniel Mgonja  amewataka wachezaji wa timu hiyo kujituma na kuweza kulinda kombe hilo ililisichukuliwe katika michuano mingine. Mgonja amesema katika mwaka huu wamekuwa...

 

5 years ago

LetsRun.Com

Ethiopia's Ababel Yeshaneh Upsets Brigid Kosgei and Smashes Half Marathon World Record at 2020 RAK Half Marathon

Ethiopia's Ababel Yeshaneh Upsets Brigid Kosgei and Smashes Half Marathon World Record at 2020 RAK Half Marathon  LetsRun.comBrihane shatters half marathon world record, Kandie triumphs  Daily NationView Full coverage on Google News

 

10 years ago

BBCSwahili

Miaka 25 ya ukuta wa Berlin

Nchini Ujerumani, maelfu ya maputo yang'aayo yaliwekwa kwenye mstari wa kilomita kumi na tano za uliokuwa ukuta wa Berlin.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga SC na ukuta wa ‘Berlin’

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikifikia mechi ya 15, Yanga imeonekana kuwa na ukuta imara mithili ya ule wa Berlin, Ujerumani miaka ya 80, ambao umekuwa mgumu kupitika ikilinganishwa na timu nyingine 13 zinazoshiriki ligi hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Miaka 25 ya ukuta wa Berlin kuporomoshwa

Wajerumani waadhimisha miaka 25 tangu ukuta wa Berlin kuporomoshwa na kupelekea Ujerumani kuungana tena na Vita Baridi kumalizika

 

10 years ago

GPL

MKENYA AVUNJA REKODI BERLIN

Dennis Kimetto. MWANARIADHA raia wa Kenya, Dennis Kimetto leo amevunja rekodi ya mbio za marathon jijini Berlin nchini Ujerumani kwa ushindi wake wa saa 2, dakika 2 na sekunde 57. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 30, amevunja rekodi hiyo akipunguza sekunde 26 katika rekodi iliyowekwa na Mkenya mwenzake Wilson Kipsang ya 2: 03: 23 katika mashindano hayo yaliyofanyika mwaka jana jijini Berlin. Kimetto amesema: "najisikia vizuri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani