Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ligi Tanzania,kuwa na msisimko

Ligi kuu Tanzania Bara ,itakuwa na msisimko msimu ujao baada ya kupitisha azimio la kusajili wachezaji 10 wa kigeni.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

FULL MSISIMKO FULL MSISIMKO TAMASHA LA MATUMAINI 2014

HAPATOSHI! Unaweza sema hivyo kwa maana nyingine wakati lile tamasha kubwa la kihistoria linalosubiriwa kwa hamu kubwa lijulikanalo kama Usiku wa Matumaini litakapowakutanisha bondia Thomas Mashali na Mada Maugo huku staa wa Bongo Fleva Ali Kiba akiwapagawisha mashabiki Agosti 8, mwaka huu (Sikukuu ya Nanenane) ndani ya Uwanja wa Taifa. Akizungumza na Mikito Nusunusu, mratibu wa tamasha hilo kubwa, Luqman Maloto alisema kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YABAMIZWA BAO 2 - 1 KUTOKA KWA AZAM NA KUWA MABINGWA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA 2014 - 2015


Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.Mtanange huo ulimalizika kwa Azam kushinda Bao 2-1. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.Mgeni Rasmi katika Mchezo huo, Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub cheti cha pongezi kutoka kwa Rais wa Shirikisho la...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya michezo ya leo Jumamosi, Disemba 19 katika ligi kuu ya Tanzania na ligi kubwa barani Ulaya

football-ground2

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea mwishoni kwa juma hili na mtandao wako bora wa habari , Modewjiblog.com imekuandalia ratiba ya michezo ya Ligi Kuu ya Tanzania “Vodacom Premier League” na ratiba ya michezo katika ligi kubwa barani Ulaya.

TANZANIA – VODACOM PREMIER LEAGUE

Kagera Sugar – African Sports           16:00 EAT

Maji Maji – Azam                               16:00 EAT

Mwadui – Ndanda                              16:00 EAT

Prisons – Mtibwa...

 

9 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

10 years ago

Vijimambo

Tanga kuwa na timu tatu Ligi Kuu ijayo?

Kikosi cha Costal Union ya Tanga 
Timu za Tanga zilizopo Ligi Kuu kwa sasa ni Coastal Union na Mgambo JKT.IWAPO African Sports itafanikiwa kupanda Ligi Kuu Bara, basi Mkoa wa Tanga utakuwa na timu tatu kwenye ligi hiyo msimu ujao.Timu za Tanga zilizopo Ligi Kuu kwa sasa ni Coastal Union na Mgambo JKT.African Sport inaongoza Kundi A la Ligi Daraja la Kwanza ikiwa imecheza michezo 19 huku ikibakiza mitatu kufunga hesabu.Kanuni za Ligi hiyo zinasema kuwa timu mbili zitakazomaliza ligi hiyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Msisimko wa 50 shades of grey

Zima moto nchini Uingereza wanatarajia ongezeko la simu za kuwaokoa wapenzi wafuasi wa filamu ya 50 shades of grey

 

9 years ago

BBCSwahili

Msisimko wa mbio za Stanchart Marathon

Benki ya Standard Chartered iliandaa mbio za Marathon za kila mwaka jijini Nairobi. Hii ilikuwa makala ya 13.

 

10 years ago

Mwananchi

Miller: Mashindano ya magari yanakosa msisimko

Mbio za magari ni moja ya mchezo unaopendwa sana ulimwenguni kutokanana mbwembwe za madereva wa magari hayo wakati wanaposhindana.

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 FULL MSISIMKO

TAMASHA la Usiku wa Matumaini, Dar (Dar Night of Hope 2014) lililofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar lilikuwa ni full msisimko kutokana na matukio mbalimbali yaliyofanyika. Mgeni rasmi Dk.Mohamed Ghalib Bilal akikagua timu ya wabunge wa Simba. Makamu wa Rais Mh. Mohamed Gharib…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani