Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKODAK WA WADAU WA VIJIMAMBO PANDE ZA MINNESOTA

Uongozi wa umoja wa akina mama wa kanisa la kiswahili Minnesota kwenye sherehe ya Valentine's ball iliyofanyika jumamosi tarehe 21 ndani ya ukumbi wa Event Center. Na katika sherehe hiyo mwenyekiti wa umoja wa akina mama Bi. Florence na mumewe Bwana Gracious Msuya walitunukiwa award ya utumishi bora.
Janeth, Penuel na Mr and Mrs Peter Mutua.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA UKODAK WA VIJIMAMBO PANDE ZA ATLANTA GA.

Elvis akijiandaa kuingia barabarani na usafiri wake pande za Atlanta alivyokamatwa na ukodak wa vijimambo kiroho safi.

 

10 years ago

Vijimambo

UKODAK WA VIJIMAMBO NEW YORK CITY

Msanii wa kizazi kipya Mwana FA (kushoto) wakipata chai katika moja ya mgahawa New York City kujaribu kukabiliana na kipupwe kinachopuliza jiji la wasiolala wengine katika picha kutoka kushoto ni Dj Rich Maka. NY Ebra na Salah Said.NY Ebra akipata supu kuikabili baridi ya New York City

 Rich, Fa na Salaa wakiwa Jfk tayari kupanda pipa kurudi Tanzania na Rich kushoto akiwaaga marafiki zake.


 

9 years ago

Vijimambo

UKODAK WA VIJIMAMBO ULIVYOTEMBELEA UNIVERSITY OF THE DISTRICT OF COLUMBIA


Dr Temba akisimama mbele ya machine ya kukaushia samaki na matunda aliyoidesign kutoka New York na kwenda kuifunga hapa yeye na Ny Ebra kwa ajili ya shamba la wanafunzi wa University of the District of Columbia Washington DC. Dr Temba na company yake ya T.E.S ilipata tenda ya ku design machine hii maalum yenye uwezo wakutumia umeme wa kawaida, generator na solar power hili kufundishia wanafunzi wa chuo hicho jinsi ya kukausha samaki na matunda yanayopatikana kwenye shamba la chuo hicho...

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA UKODAK WA VIJIMAMBO NEW YORK CITY WIKI ENDI

Adela alisherehekea birthday weekend kwa kujumuhika na marafiki kwa kichwaji na dinner, Hapa Adela akiwa kashikilia chupa za wine tayari kwa ku pomping the bottle kiroho safi ukiona birthday maana yake miaka inaenda winter, spring, summer siku azigandi.Hapa Adela akifurahi baada ya kupewa zawadi ambayo hakutegenea ya pesa taslim na marafiki zake.



 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA UKODAK WA VIJIMAMBO WIKIEND NDANI YA TROPICAL GRILL LOUNGE JAMAICA. NY


 David Kassian Birthday  Boy pande za Tropical Grill Lounge akiwa na marafiki zake kumpongeza.
 Birthday Boy David sijuhi alikuwa anaimba wimbo gani mbele ya ukodak wa Vijimambo hii yote katika kufurahia siku yake ya kuzaliwa.
Cake ya Birthday Boy ikiwaka mshumaa juu yake kuashiria kuwa birthday cake ikatwe sasa

 Marafiki wakipata ukodak na birthday boy katikati David Kassian, kwa picha zaidi nenda soma zaidi



 

9 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA UKODAK WA VIJIMAMBO NEW YORK

 Abubakary katikati kutoka Russia akiwa New York likizo akiwa na rafiki zake kushoto kwake ni Amos wakipata ukodak maeneo ya times square. Hapa 6th Avenue Abubakary akiwa na Roja katikati na kulia na Amos wakipata ukodak wa kumbukumbu kabla kurudi masomoni Russia.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

VIJIMAMBO YAKUTANA NA WADAU WAKE DALLAS, TEXAS

 Kutoka kushoto ni Tom, Wolfgang, Kichai na Dj Luke wakiwa Afrika Fusion wakipata menyu ni kilaji kwenye July 4th weekend jijini Dallas, Texas. Ben Kazora akiwa na Dj Luke wakipata picha ya pamoja. Wadau wa Dallas wakiwa kwenye nyama choma kama walivyokutwa na camera ya Vijimambo ambayo wiki hii ipo Dallas, Texas. Mdau wa Vijimambo akipata picha ya kumbukumbu
 Wadau wakiwa Africa Fusion wakipata ukodak ndani ya mgahawa huo.. Mdau kutoka California aakipata picha ya upendeleo. Wadau wa Dallas...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani