supu ya pweza, karanga mbichi, muhogo mbichi, mbata, korosho havisaidii urijari - Daktari
Dk Cuthbert Maendaenda akiwatwanga
lekcha wahariri mbalimbali mjini Morogoro
ULAJI wa supu ya pweza, karanga mbichi, muhogo mbichi, mbata kwa dai kwamba vinaongeza urijali kwa wanaume kumeelezwa kuwa ni dhana potofu inayostahili kupigwa vita kwa kuwa haina uhusiano kati ya urijali wa mwanaume na virutubisho vinavyotolewa na vyakula hivyo.
Kauli hiyo imetolewa na Dk Cuthbert Maendaenda wakati akitoa mada yake katika semina ya wahariri iliyofanyika mkoani Morogoro iliyojadili nafasi ya wanaume...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 Nov
Daktari afafanua kuhusu ulaji wa supu ya pweza
ULAJI wa supu ya pweza, karanga mbichi, muhogo mbichi, mbata kwa dai kwamba vinaongeza urijali kwa wanaume, kumeelezwa kuwa ni dhana potofu inayostahili kupigwa vita, kwa kuwa haina uhusiano kati ya urijali wa mwanamume na virutubisho vinavyotolewa na vyakula hivyo.
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Mbivu, mbichi za Loga
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Umuhimu wa kula mboga mbichi
10 years ago
Mtanzania07 Mar
Escrow ngoma bado mbichi
Na Elias Msuya
SERIKALI ya Marekani imeendelea kuichunguza Tanzania kama inakidhi vigezo vya kupewa msaada wa Shirika la Msaada wa Maendeleo la Marekani (Millennium Challenge Corporation- MCC) unaofikia Dola za Marekani milioni 700, sawa na Sh trilioni 1.3.
Tathmini hiyo imeendelea kufanyika wakati nchi ya Ghana ikiwa tayari imeshapata msaada wake, huku Tanzania ikikabiliwa na harufu ya ufisadi unaokwamisha kupitishwa kwa msaada huo.
Taarifa hizi mpya zimepatikana baada ya kikao...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-VFLD37CD3fY/VQBesQL_rII/AAAAAAAAB7k/HMC3s3o5QzA/s72-c/Profesa%2BAnna%2BTibaijuka.jpg)
Mbivu, mbichi za Tibaijuka kesho
NA MARIAM MZIWANDA
HUKUMU ya aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, kuhusiana na kupata mgawo wa fedha za Akaunti ya Tegeta Escrow, inatarajiwa kutolewa kesho.
![](http://2.bp.blogspot.com/-VFLD37CD3fY/VQBesQL_rII/AAAAAAAAB7k/HMC3s3o5QzA/s1600/Profesa%2BAnna%2BTibaijuka.jpg)
Profesa Tibaijuka, tayari amehojiwa na Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma juu ya tuhuma hizo, ambapo alikiri kupata mgawo huo, lakini akaeleza kuwa ulikuwa ni msaada. Anatuhumiwa kukiuka Sheria ya Maadili ya Utumishi wa Umma namba 12 (e) (1) ya mwaka 1995.
Mwanasheria wa Baraza hilo, Wema...
10 years ago
Mwananchi19 Apr
Vita ya Serikali, madereva mbichi
11 years ago
BBCSwahili06 Dec
Mbivu na mbichi Brazil 2014
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
Vita ya ubakaji ingali mbichi
UKATILI wa kijinsia ni msemo mpana sana. Unagusa binadamu wote wanawake na wanaume. Lakini lililo la kweli ukatili wa kijinsia unawaathiri zaidi wanawake, wasichana na watoto kuliko ilivyo kwa wanaume...
10 years ago
Habarileo05 Sep
Mbivu, mbichi CDA Septemba 7
RAIS Jakaya Kikwete amewataka Watanzania kuwa na subira wakati suala la mgogoro kati ya Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) na wananchi linashughulikiwa.