Mbivu, mbichi za Loga
Hatima ya kocha wa Simba, Zdravko Logarusic itajulikana leo wakati moja wa vigogo wa klabu hiyo atakapotua nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili06 Dec
Mbivu na mbichi Brazil 2014
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-TurFMRemeJc/U5lpX5TJl0I/AAAAAAAABPY/-IQa97xaFM8/s72-c/mkuya-1.jpg)
Mbivu, mbichi za bajeti leo
Vyanzo vipya vya mapato, misamaha gumzo Serikali yasikiliza mapendekezo ya wabunge Kuongeza bil. 200/-, wizara kubanwa zaidi Wananchi: Bei ya mafuta, saruji zidhibitiwe
NA SELINA WILSON, DODOMA
MACHO na masikio ya Watanzania leo yataelekezwa mjini Dodoma, wakati Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, atakaposoma Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015.
Tayari bajeti hiyo ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa ili kutoa mwelekeo wa taifa, imeibua msuguano mkali baina ya serikali na...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-VFLD37CD3fY/VQBesQL_rII/AAAAAAAAB7k/HMC3s3o5QzA/s72-c/Profesa%2BAnna%2BTibaijuka.jpg)
Mbivu, mbichi za Tibaijuka kesho
NA MARIAM MZIWANDA
HUKUMU ya aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, kuhusiana na kupata mgawo wa fedha za Akaunti ya Tegeta Escrow, inatarajiwa kutolewa kesho.
![](http://2.bp.blogspot.com/-VFLD37CD3fY/VQBesQL_rII/AAAAAAAAB7k/HMC3s3o5QzA/s1600/Profesa%2BAnna%2BTibaijuka.jpg)
Profesa Tibaijuka, tayari amehojiwa na Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma juu ya tuhuma hizo, ambapo alikiri kupata mgawo huo, lakini akaeleza kuwa ulikuwa ni msaada. Anatuhumiwa kukiuka Sheria ya Maadili ya Utumishi wa Umma namba 12 (e) (1) ya mwaka 1995.
Mwanasheria wa Baraza hilo, Wema...
10 years ago
Habarileo05 Sep
Mbivu, mbichi CDA Septemba 7
RAIS Jakaya Kikwete amewataka Watanzania kuwa na subira wakati suala la mgogoro kati ya Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) na wananchi linashughulikiwa.
11 years ago
Habarileo06 Apr
Mbivu, mbichi ubunge Chalinze leo
BAADA ya kampeni zilizodumu kwa mwezi mmoja, hatimaye uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo, Pwani unatarajiwa kufanyika leo ili kumpata mrithi wa Said Bwanamdogo aliyefariki dunia Januari 22 mwaka huu kutokana na maradhi.
10 years ago
Tanzania Daima30 Sep
Mbichi, mbivu za Serikali mbili leo
BUNGE Maalum la Katiba linatarajia kuanza upigaji kura wa kuamua ibara na sura za rasimu ya Katiba inayopendekezwa kuanzia leo hadi Oktoba 2 mwaka huu, huku masuala mawili ya udini...
10 years ago
Habarileo24 Nov
Mbivu, mbichi bungeni wiki hii
NI wiki ya lala salama katika Mkutano wa 16 na 17 wa Bunge la Tanzania, lakini wiki ambayo unaweza kuiita ni ya kufahamu mbichi na mbivu kuhusu madai ya uchotaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow inayohusu Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL).
10 years ago
Michuzisupu ya pweza, karanga mbichi, muhogo mbichi, mbata, korosho havisaidii urijari - Daktari
lekcha wahariri mbalimbali mjini Morogoro
ULAJI wa supu ya pweza, karanga mbichi, muhogo mbichi, mbata kwa dai kwamba vinaongeza urijali kwa wanaume kumeelezwa kuwa ni dhana potofu inayostahili kupigwa vita kwa kuwa haina uhusiano kati ya urijali wa mwanaume na virutubisho vinavyotolewa na vyakula hivyo.
Kauli hiyo imetolewa na Dk Cuthbert Maendaenda wakati akitoa mada yake katika semina ya wahariri iliyofanyika mkoani Morogoro iliyojadili nafasi ya wanaume...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Maajabu ya ndizi mbivu
INAVUTIA, baada ya kuisoma makala hii, hautaiangalia ndizi katika mtazamo wa awali. Ndizi mbivu zina aina tatu ya sukari ambazo ni sucrose, fructose na glucose pamoja Fibre (nyuzilishe). Ndizi zinakupa...