Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbatia asema kauli ya Werema imejaa unafiki

Siku moja baada Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema kueleza kuwa hakuna mwenye mamlaka kisheria kuvunja au kusitiza Bunge la Katiba, mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amesema kauli hiyo imejaa unafiki na kwamba upo uwezekano wa kuahirisha vikao kwa muda mpaka mwafaka wa kitaifa utakapopatikana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mbowe, Mbatia wafura kauli ya Kikwete

>Kauli ya Rais Jakaya Kikwete ya kuwataka wanachama, wadau na makada wa CCM, kuondokana na unyonge, imepokewa kwa hisia tofauti huku ikielezwa kuwa ni ya vitisho.

 

10 years ago

Bongo5

PAPASO: Florah Mvungi adai Bongo Movie hawapendani na AT asema Bongo Fleva imejaa majungu tupu

Muigizaji wa filamu za Bongo ambaye naye ameingia kwenye Bongo Fleva, Florah Mvungi a.k.a H.Mama na msanii wa muziki wa mduara AT ambao hivi karibuni wametoa wimbo wa pamoja ‘Mkazurule’ , walikuwa wageni kwenye kipindi cha Papaso kupitia TBC Fm. Miongoni mwa vitu ambavyo Florah ambaye pia ni mke wa H.Baba alivisema ni kuwa waigizaji […]

 

10 years ago

Mwananchi

JK amkana Werema, asema Kura ya Maoni Aprili, 2015

Jaji Lubuva ashikilia msimamo, asema tarehe ya Jaji Werema haitekelezeki, asisitiza kura kupigwa baada ya uhakiki wa daftari la wapigakura

 

11 years ago

Mwananchi

JOTO 2015: Mrema asema yuko tayari kumkabili Mbatia

Mbunge wa Vunjo, Augustino Mrema (TLP) amesema amejiandaa kuingia ‘vitani’ na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ambaye ametangaza kuwania ubunge katika jimbo hilo, mwaka 2015.

 

10 years ago

Vijimambo

Mbatia Asema Yake Baada Ya Profesa Lipumba Kung’atuka Uenyekiti CUF


Kufuatia uamuzi wa Profesa Ibrahim Lipumba kujiuzulu nafasi ya uenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), watu mbalimbali wamekuwa na mtazamo tofauti huku wengi wakitaka kujua hatua hiyo imepokelewa vipi na viongozi wa Ukawa.Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi, James Mbatia ameelezea jinsi alivyopokea taarifa za hizo akiwa mwenyekiti mwenza wa Ukawa.Akiongea katika mahojiano maalum na waandishi wa habari, Mbatia amesema kuwa uamuzi huo ni wa kawaida kwa kuzingatia mfumo wa vyama vingi nchini na kwamba...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda asema kauli yake ya wapigeni ilimaanisha amani

>Neno “piga” lina maana ya “fanya kitendo cha kukutanisha vitu kwa nguvu, fumua, ezeka, zaba, shambulia, chapa na tandika” kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu, Oxford, lakini kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda neno “wapigeni” lilimaanisha “kuendelea kulinda amani”.

 

9 years ago

Michuzi

MBATIA AKABIDHI ZAWADI KWA BINGWA WA MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO (MBATIA CUP 2015).

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo ,maarufu kama Mbatia Cup 2015.
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa,James Mbatia akisamiana na wachezaji wa timu ya Wazalendo fc kabla ya kuanza kwa mchezo.
Mh Mbatia akikabidhi zawadi ya kikombe kwa mabingwa wa mashindano hayo timu ya Himo fc,iliyochomoza na ushindi dhidi ya Wazalendo fc wa bao 2 kwa 0.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani