Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbatia Asema Yake Baada Ya Profesa Lipumba Kung’atuka Uenyekiti CUF


Kufuatia uamuzi wa Profesa Ibrahim Lipumba kujiuzulu nafasi ya uenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), watu mbalimbali wamekuwa na mtazamo tofauti huku wengi wakitaka kujua hatua hiyo imepokelewa vipi na viongozi wa Ukawa.Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi, James Mbatia ameelezea jinsi alivyopokea taarifa za hizo akiwa mwenyekiti mwenza wa Ukawa.Akiongea katika mahojiano maalum na waandishi wa habari, Mbatia amesema kuwa uamuzi huo ni wa kawaida kwa kuzingatia mfumo wa vyama vingi nchini na kwamba...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mtikisiko: Ni baada ya Profesa Lipumba kujiengua uenyekiti CUF

Hakuna neno jingine linalofaa kuelezea hali ilivyo ndani ya Ukawa zaidi ya “mtikisiko” baada ya Profesa Ibrahim Lipumba kuamua kujivua uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) wakati mkakati wa vyama vya upinzani kushirikiana kutaka kushika dola ukiwa umeshika kasi.

 

10 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Profesa Lipumba ajiuzulu rasmi Uenyekiti CUF

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amejiuzulu rasmi wadhifa wake huo ndani ya chama kwa kikle alichokitaja kuwa ni kukiukwa kwa Katiba ya chama hicho.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA JAMES MBATIA NCCRA MAGEUZI NA PROFESA IBRAHIM LIPUMBA CUF IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia Ikulu jijini Dar es SalaamRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo ya faragha na...

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA PROFESA IBRAHIM LIPUMBA KUJIUZULU UWENYEKITI, UONGOZI WA CUF ZANZIBAR WATOA TAMKO

Kaimu Mkurugenzi wa Habari Uenezi na Mawasiliano na Umma Mhe. Ismail Jussa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kadhia ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Chama hicha Profesa Ibrahim Lipumba, aliotangaza jana jijini Dar es Salaam kujiuzulu kwake kwa nafasi hiyo na kubaki kama mwanachama tu wa CUF, mkutano huo umefanyika katika Afisi za CUF Vuga Zanzibar
Jana tarehe 6 Agosti, 2015 Profesa Ibrahim Lipumba aliitisha mkutano na waandishi wa habari katika Hoteli ya Peacock, mjini Dar es...

 

10 years ago

Mwananchi

Prof. Lipumba ajiuzulu uenyekiti CUF

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba leo ametangaza kujiuzulu uenyekiti ndani ya chama hicho.

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS IBRAHIMU LIPUMBA AJIUZULU UENYEKITI CUF

Ibrahim Lipumba
Habari zlizotufikia hivi sasa zinasema mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba ameamua kujiuzulu wadhifa wake wa mwenyekiti katika chama hicho.
Vuguvugu za kujiuzulu kwake zilianza juzi katika mitandao ya kijamii baada ya mwenyekiti huyo kutoonekana kwenye mkutano mkuu wa UKAWA walipompitisha Edward Lowassa kupeperusha bendera ya UKAWA kwenye mbio za Urais 2015 na Juma Dudi Haji kama mgombea mwenza.
Vijimambo inaendelea kulifuatilia swala hili kwa karibu zaidi stay tuned.

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: IBRAHIMU LIPUMBA AJIUZULU UENYEKITI KATIKA CHAMA CHA CUF LEO


Aliyekuwa  Mwenyekiti wa chama cha CUF taifa, Profesa Ibrahimu Lipumba akizungumza ngumza na waandishi wa habari kuhusiana na kung'atua rasmi umwenyekiti wa chama hicho na kuendelea kuwa mwanachama wakawaida wa chama hicho ikiwa atakuwa mwanachama halali kwani kadi yake ya uanachama ameshailipia mpaka mwaka 2020 hayo ameyasema katika ukumbi wa mikutano wa Peacock hoteli jijini Dar es Salaam leo. Aliyekuwa  Mwenyekiti wa chama cha CUF taifa, Profesa Ibrahimu Lipumba akiwa na wananchi wa...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA PROFESA LIPUMBA PAMOJA NA JAMES MBATIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo ya faragha na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba, Ikulu Jijini Dar es Salaam.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani