Mtikisiko: Ni baada ya Profesa Lipumba kujiengua uenyekiti CUF
Hakuna neno jingine linalofaa kuelezea hali ilivyo ndani ya Ukawa zaidi ya “mtikisiko†baada ya Profesa Ibrahim Lipumba kuamua kujivua uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) wakati mkakati wa vyama vya upinzani kushirikiana kutaka kushika dola ukiwa umeshika kasi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo08 Aug
Mbatia Asema Yake Baada Ya Profesa Lipumba Kung’atuka Uenyekiti CUF
![](http://i1.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2015/08/Mbatia.jpg?resize=702%2C336)
Kufuatia uamuzi wa Profesa Ibrahim Lipumba kujiuzulu nafasi ya uenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), watu mbalimbali wamekuwa na mtazamo tofauti huku wengi wakitaka kujua hatua hiyo imepokelewa vipi na viongozi wa Ukawa.Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi, James Mbatia ameelezea jinsi alivyopokea taarifa za hizo akiwa mwenyekiti mwenza wa Ukawa.Akiongea katika mahojiano maalum na waandishi wa habari, Mbatia amesema kuwa uamuzi huo ni wa kawaida kwa kuzingatia mfumo wa vyama vingi nchini na kwamba...
10 years ago
Habarileo06 Aug
BREAKING NEWS: Profesa Lipumba ajiuzulu rasmi Uenyekiti CUF
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amejiuzulu rasmi wadhifa wake huo ndani ya chama kwa kikle alichokitaja kuwa ni kukiukwa kwa Katiba ya chama hicho.
10 years ago
VijimamboBAADA YA PROFESA IBRAHIM LIPUMBA KUJIUZULU UWENYEKITI, UONGOZI WA CUF ZANZIBAR WATOA TAMKO
Jana tarehe 6 Agosti, 2015 Profesa Ibrahim Lipumba aliitisha mkutano na waandishi wa habari katika Hoteli ya Peacock, mjini Dar es...
10 years ago
Mwananchi06 Aug
Prof. Lipumba ajiuzulu uenyekiti CUF
10 years ago
Vijimambo06 Aug
BREAKING NEWS IBRAHIMU LIPUMBA AJIUZULU UENYEKITI CUF
![](http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2015/01/lipumba2.jpg)
Habari zlizotufikia hivi sasa zinasema mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba ameamua kujiuzulu wadhifa wake wa mwenyekiti katika chama hicho.
Vuguvugu za kujiuzulu kwake zilianza juzi katika mitandao ya kijamii baada ya mwenyekiti huyo kutoonekana kwenye mkutano mkuu wa UKAWA walipompitisha Edward Lowassa kupeperusha bendera ya UKAWA kwenye mbio za Urais 2015 na Juma Dudi Haji kama mgombea mwenza.
Vijimambo inaendelea kulifuatilia swala hili kwa karibu zaidi stay tuned.
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/OBbSQlEfliE/default.jpg)
10 years ago
VijimamboPICHA: IBRAHIMU LIPUMBA AJIUZULU UENYEKITI KATIKA CHAMA CHA CUF LEO
Aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha CUF taifa, Profesa Ibrahimu Lipumba akizungumza ngumza na waandishi wa habari kuhusiana na kung'atua rasmi umwenyekiti wa chama hicho na kuendelea kuwa mwanachama wakawaida wa chama hicho ikiwa atakuwa mwanachama halali kwani kadi yake ya uanachama ameshailipia mpaka mwaka 2020 hayo ameyasema katika ukumbi wa mikutano wa Peacock hoteli jijini Dar es Salaam leo.
10 years ago
Dewji Blog06 Aug
Profesa Ibrahim Lipumba ajiuzulu nyazifa zote CUF na UKAWA, abaki mwanachama wa kawaida
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/136.jpg)
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Peacock leo jijini Dar es salaam wakati akitangaza kujuuzulu nyazifa zake zote katika chama hicho na kubaki mwanachama wa kawaida kutokana kile alichokiita dhamira inamsuta.(NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM).
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba akionyesha rasimu ya katiba iliyoandaliwa na tume ya katiba mpya iliyokuwa...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-msxFU5zy2yQ/U6swdrE662I/AAAAAAAFs8M/2Y5nnEKOhQE/s72-c/unnamed+(1).jpg)
MAALIM SEIF, PROFESA LIPUMBA WAPETA TENA UCHAGUZAI WA CUF, JUMA HAJI DUNI MAKAMU MWENYEKITI