Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAALIM SEIF, PROFESA LIPUMBA WAPETA TENA UCHAGUZAI WA CUF, JUMA HAJI DUNI MAKAMU MWENYEKITI

Na Hassan Hamad (OMKR)  Mkutano Mkuu wa CUF Taifa umemchagua tena Katibu Mkuu wa Chama hicho kuendelea na wadhifa huo kwa kupata kura 675, sawa na asilimia 99.5 ya kura zilizopigwa.  Mkutano huo pia umemchagua Prof. Ibrahim Lipumba kuwa Mwenyekiti wa CUF Taifa kwa kupata kura 659 sawa na asilimia 95.5 na kumshinda mpinzani wake Chifu Lutalosa Yemba aliyepata kura 30 sawa na asilimia 4 nukta 3.  Aidha mkutano huo umemchagua Mhe. Juma Duni Haji kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho kwa kupata...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Lipumba, Maalim Seif waongoza tena CUF

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amechaguliwa tena kuendelea na wadhifa huo. Ingawa matokeo kamili ya uchaguzi huo yanatarajiwa kutangazwa leo, lakini taarifa za awali tulizozipata wakati...

 

10 years ago

Vijimambo

Katibu wa CUF Maalim Seif Akanusha kuhama kwa Mwenyekiti wake Mhe Pro. Ibrahim Lipumba.

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia kwenye mkutano Mkuu wa Chadema uliofanyika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amekanusha taarifa za kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Profesa Ibrahim Haruna Lipumba.

Amesema akiwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, hajapokea taarifa zozote za kujiuzulu kwa Prof. Lipumba, na kwamba hadi saa nne za usiku wa jana Jumatatu ya tarehe 03/08/2015, alikuwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

cuf,zanzibar,duni,juma,haji,uchaguzi,2015,upinzani,

Juma Duni Haji ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) ngazi ya Taifa na ni Waziri wa Afya wa Serikali ya Zanzibar.

 

10 years ago

Mwananchi

Maalim Seif ‘amchana’ Profesa Lipumba

Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema ameshangazwa na sababu zilizotolewa na Profesa Ibrahim Lipumba aliyejivua uenyekiti wa chama hicho, kuwa amechukizwa na kitendo cha kukaribishwa kwa makada wa CCM ndani ya Ukawa.

 

11 years ago

Habarileo

UCHAGUZI WA CUF:Wawili kumkabili Lipumba, Maalim Seif mgombea pekee

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim LipumbaMWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, na Katibu Mkuu wa chama hicho, Seif Sharif Hamad bado wanahitaji kuendelea na nafasi hizo za uongozi kitaifa baada ya kuchukua fomu kuzitetea katika uchaguzi utakaofanyika wiki hii.

 

10 years ago

Vijimambo

MH JUMA DUNI HAJI AZUNGUMZA UKARIBISHO WA MH EDWARD LOWASSA

Kada Mkongwe wa Chama cha wananchi CUF Juma Duni Haji amefunguka Mazito Kuhusu Ujio nwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli Mh Edward Lowassa anayetarajiwa Kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) Mh Duni Haji amepokea kwa Mikono miliwi ujio wa wa Kada huyo Mkongwe Kutoka Chama cha Mapinduzi

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Profesa Ibrahim Lipumba: Mwenyekiti wa CUF

Ibrahim Lipumba ni mchumi wa kimataifa na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF). Alizaliwa Juni 6, 1952 katika Kijiji cha Ilolangulu mkoani Tabora.

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA CHADEMA JUMA DUNI HAJI AFANYA MKUTANO RUFIJI

 Mgombea mwenza wa urais Chadema anayeungwa mkono na Ukawa, Juma Duni Haji akikaribishwa na mkazi wa Chumba, Futa Bakari wakati wa mkutano wa kampeni katika Viwanja vya Muhoro, Rufiji mkoani Pwani.Wananchi wakifuatili mkutano.
 Mgombea mwenza wa urais Chadema anayeungwa mkono na Ukawa, Juma Duni Haji akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Kibiti CUF, Abdallah Ismail wakati wa mkutano wa kampeni katika Viwanja vya Jaribu mkoani Pwani. Mgombea mwenza wa Chadema anayeungwa mkono na Ukawa, Juma Duni...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI ANGURUMA JIJINI TANGA

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia mkutano wa kampeni katika uwanja wa Tangamano mjini Tanga.Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akipokea saluti kutoka kwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Tanga (OCD), Omary Ntungu alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Tanga kwa ajili ya mikutano ya mkoani.Makamu Mwenyekitiwa Chadema, Zanzibar, Saud Issa Mohamed akimlaki Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani