Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe, Mbatia wafura kauli ya Kikwete

>Kauli ya Rais Jakaya Kikwete ya kuwataka wanachama, wadau na makada wa CCM, kuondokana na unyonge, imepokewa kwa hisia tofauti huku ikielezwa kuwa ni ya vitisho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbatia asema kauli ya Werema imejaa unafiki

Siku moja baada Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema kueleza kuwa hakuna mwenye mamlaka kisheria kuvunja au kusitiza Bunge la Katiba, mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amesema kauli hiyo imejaa unafiki na kwamba upo uwezekano wa kuahirisha vikao kwa muda mpaka mwafaka wa kitaifa utakapopatikana.

 

9 years ago

IPPmedia

Lowassa, Sumaye, Mbowe, Mbatia: No comment for now


IPPmedia
Lowassa, Sumaye, Mbowe, Mbatia: No comment for now
IPPmedia
Former Chadema Secretary General Dr Wilbroad Slaa addresses news conference in Dar es Salaam yesterday on his weeks of absence from political forums. The former secretary general of the opposition Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ...
Richmond saga 'ex-PM making' - SlaaDaily News

all 5

 

10 years ago

Mwananchi

Mbatia, Mbowe vicheko, Mrema augulia maumivu

Matokeo kwa upande wa chama cha Mrema yamezidi kudhoofu.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa awataka Mbowe, Mbatia kwenye mpambano

Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa amewaomba wananchi wa majimbo ya Hai na Vunjo kuwaachia wagombea wao, Freeman Mbowe na James Mbatia kutoonekana majimboni mwao kwa muda ili waingie kwenye mapambano ya kitaifa kuhakikisha upinzani unachukua nchi.

 

11 years ago

Michuzi

Lipumba, Mbatia, Mbowe na Vuai wakichangia mjadala Bungeni jioni hii

Busara za viongozi wa kisiasa katika  semina ya kujadili kanuni zimeokoa jahazi na kikao kuendelea salama leo jioni.   Mwenyekiti wa chama cha CUF na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Prof. Ibrahimu Lipumba akichangia.  Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe.James Mbatia akichangia .  Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Freeman Mbowe akichangia. Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Tanzania Visiwani  na...

 

9 years ago

Global Publishers

Kauli ya Mbowe baada ya MCC kuzuia Trilioni 1 kwa serikali ya Tanzania

Mwenyekiti wa Chama chadema, Freema Mbowe. Muda mfupi baada ya Bodi ya MCC kutoa taarifa inayoonesha Tanzania haitapata msaada kutoka shirika hilo kama ilivyotarajiwa kwa ajili ya mwaka 2016, Mwenyekiti wa Chama  Chadema, Freema Mbowe ametoa kauli nzito juu ya suala hilo akisema kuwa kuchelewa kupatikana kwa fedha za MCC si tu kunachafua jina la nchi na hadhi yake katika medani za kimataifa, bali kutaathiri kwa kiasi kikubwa miradi yote iliyo chini ya ufadhili wa MCC. MCC imeahirisha msada...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Kauli ya Mbowe baada ya MCC kuzuia Trilioni 1 kwa serikali ya Tanzania

Muda mfupi baada ya Bodi ya MCC kutoa taarifa inayoonesha Tanzania haitapata msaada kutoka shirika hilo kama ilivyotarajiwa kwa ajili ya mwaka 2016, Mwenyekiti wa Chama Chadema, Freema Mbowe ametoa kauli nzito juu ya suala hilo akisema kuwa kuchelewa kupatikana kwa fedha za MCC si tu kunachafua jina la nchi na hadhi yake katika medani za kimataifa, bali kutaathiri kwa kiasi kikubwa miradi yote

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani