Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kauli ya Pinda yawazindua Takukuru

SIKU chache baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kukiri bungeni kuwapo baadhi ya watendaji serikali wanaotumia migogoro kati ya wakulima na wafugaji kujinufaisha, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imesema inaanza kufuatilia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Pinda aagiza Takukuru, CAG wachunguze IPTL

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) pamoja na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wameagizwa kuchunguza na kujiridhisha kama kweli upo uchotaji wa mabilioni ya shilingi katika akaunti ya Escrow iliyokuwa imefunguliwa ndani ya Benki Kuu (BoT) kwa ajili ya kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL).

 

11 years ago

Mwananchi

‘Kauli ya Pinda yaonyesha udhaifu’

Baadhi ya wanasiasa na wanaharakati wamemkosoa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kutokana na kutamani kung’olewa kwenye nafasi, wakidai kuwa kauli yake inaonyesha jinsi alivyo mpole na dhaifu kiutendaji .

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda asema kauli yake ya wapigeni ilimaanisha amani

>Neno “piga” lina maana ya “fanya kitendo cha kukutanisha vitu kwa nguvu, fumua, ezeka, zaba, shambulia, chapa na tandika” kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu, Oxford, lakini kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda neno “wapigeni” lilimaanisha “kuendelea kulinda amani”.

 

11 years ago

Mwananchi

Kauli ya ‘Zanzibar siyo nchi’ yamponza Waziri Mkuu Pinda

Madai ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuingia katika kinyang’anyiro cha urais yameibua mjadala mkali kutoka kwa baadhi ya wanasiasa, wasomi na wananchi wa Zanzibar ambao wamesema hafai kutokana na kauli yake kuwa ‘Zanzibar si nchi’.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani